Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

Kwa Hiyo hata mfalme daudi utajiri wake ulikuwa ni washirki?
Umesahau Daudi alipochukua mke wa Uria kilichomtokea...Mungu aliahidi laana hadi kizazi chake cha 4.Lakini Daudi ulimlilia Mungu kwa toba nae akamsahe na kupitia huyo mke wa Urio akazaliwa Suleiman.
 
Umesahau Daudi alipochukua mke wa Uria kilichomtokea...Mungu aliahidi laana hadi kizazi chake cha 4.Lakini Daudi ulimlilia Mungu kwa toba nae akamsahe na kupitia huyo mke wa Urio akazaliwa Suleiman.
Ni Kwa mke wa uria mhiti tu ila yeye alikuwa na wake wanaokadiriwa kuwa 600+
 
Hakuna ukweli wowote,kuna mahanisi wanashda na hawajawah kufanikiwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kila Jambo linawakati wake Mkuu
Hawa watu wameshindikana πŸ™Œ

Nakumbuka miaka Fulani ya Nyuma Kuna kiongozi wetu mmoja wa Imani alikuwa anahubiri sana kuhusu dhambi ya Uzinzi na kuwaasa watu kuhusu kumrudia Mungu na jinsi dhambi hiyo ilivyo chukizo Kwa Mungu, Bwana eeh siku isiyo na Jina si akafumwa Ugoni na Mke wa Muumini 😭
 
Hilo la "ngono" hoja yako yaweza zua mjadala tukaanza kubishana sisi kwa sisi!

Mwanamke atembee na mwanaume mwenzako siku hiyo hiyo ukilala naye wewe usijue, basi utakuwa umevaa mihemuko ya balekhe na akili kubwa imesizi kutokana na akili ya kichwa kidogo kutamalaki!

Ni nani aliyekufundisha kuwa "ngono" ama tendo la ndoa kama mnavyoliita huwa ni uchafu?

Na kinyume chake, ni nani pia aliyekufundisha kuwa tendo la ndoa ni usafi?

Mafundisho yenu ya kupingana na asili ya uumbaji wa mwenyezi Mungu, mnatengeneza mahanithi wengi sana kwa kuhofisha akili zao kuwa tendo hilo ni uchafu, mikosi, balaa na majina mengine ya ajabu ajabu!

Mnasema hayo wakati mmeoa ama kubariki mitala, ajabu sana hii!

Ndiyo maana ikasemwa: "unapomnyooshea kidole kimoja mwenzako kwa matendo yake, vidole vyako vinne vimekuelekea wewe vikikusuta kwa kufanya hayo hayo unayoyakemea kwa mwenzako"!

Ndiyo maana ikasemwa njia ya kuingia uzimani ni nyembamba kuliko mnavyochukulia.
 
Hapa imenena kweli kabisa hata neno kwenye kitabu cha Mithali 6:32 imeandikwa "aziniye na mwanamke hana akili kabisa , afanya jambo linaloangamiza nafsi yake.
 
Nikioa wake wanne je?
 
Naunga mkono hoja ,Kama Mungu amekujalia ukwasi ukianza kutoka na wanawake mchanganyiko Tena wale ambao Ni madanga lazima utaanza kushuka na hata Kama Mambo yako mengi hayataenda vizuri ,utaandamwa na mikosi na mabalaa hata kufumuzwa kazi.
 
Uwongo mbona wenye pesa wengi ni wazinzi. Hata wazungu wengi wenye pesa ni wazinzi Sana mfano tajiri no. 1 duniani. Akina Bill gate mpaka wameachana na wake zao Sababu ya uzinzi, hata hapa Tanzania wenye pesa kubwa ndo wazinzi Wana vimada kila kona. Hivyo wewe Kama umetoka familia masikini isiwe Sababu za kijinga hizo.
 
Sex ni kitu kidogo sana, Kuna dhambi za aina mbili tu hapa duniani 1. Kuua binadamu mwenzako 2. Kutotimiza ahadi muliyoaadiana na muumba wako siku ulipokuja hapa duniani, kama alisema uwe mkulima wewe ukawa dakitari hiyo ni dhambi, na hizi dhambi ni minor siyo Major.

Dhambi kumbwa ni ya kwanza hiyo siku unatoka hapa duniani moja kwa moja motoni. Hiyo roho hairudi Tena duniani. Dhambi ya pili utaomba msamaa na kurudi Tena duniani. Hivyo mtoto inabidi ugundue kipaji chake akiwa na chini ya miaka miwili hapo bado wanawasiliana na muumba wake direct.

Ndo maana wengine Wana vipaji hata bila kusoma ,wagunduzi bila hata kwenda shule, wengine shule hawasomi lakini wanapata A,AA. Wengine wanasoma usiku kucha lakini wanaambulia zero au D. Issue ya kuwa na wanawake wengi hiyo ni minor case. Haina uhusiano na maendeleo yako. Hivyo basi kula mbususu kadri ya uwezo wako. Kama ni utajiri ni juhudi zako za kazi tu.
 
Nikirejea maandiko ya bwana Jesus..nadhani mustarbation nayo ni uzinzi sababu Yesu alisema kumtamani tuu mwanamke hapo ni tayari ushazini naye kwenye ulimwengu wa kiroho...

Kwa hiyo hao wanawake woote unaowafanyia imagination wkt wa puli...ni tayari umefungamana nao kiroho bila ww kujijuaa....Ubinadamu kazi saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…