Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Sijasoma yote maana mda hautoshi... lakini nadhani tatizo halisi la kuajiriwa hasa izi ajira za 80% ya watu:-
Ni kuwa na mshahara duni lakini usioongezeka kulingana na matakwa yako au mabadiliko ya mahitaji, ... huwezi ukakua kwene ajira mpaka uongeze cv ama kupanda vyeo labda
Ila mtu aliejiajiri ana room ya kukua... kama yuko smart kama mwaka huu alikuwa na kibanda kimoja cha chips na kikaenda vizuri mwakani anaweza kuongeza viwili akaajiri vijana wakamuongezea pato... haya huwez kufanya ndani ya ajira
Mshahara wa laki tano Kwa MTU mmoja ni mwingi Sana kama Hana wategemezi.
Laki tano Kwa nchi ya Tanzania Kwa MTU mmoja ni nyingi.