Hii sio hoja sababu kuna sehemu nyingi hujawahi ona mtu akienda zikiwemo sayari kwenye galaxy nyingine.

Unapokuwa umelala ukaota upo chooni, mwili wako unakuwa wapi?
• Mwili unakuwa upo kitandani, Umepumzika kotokana na mihangaiko ya hapa na pale.

• Safari za kwenda sayari Nyingine, hizo ni safari za kibinadamu, siyo safari za mfu. Ndo maana wanatumia vyombo vya anga.
 
Nimemsikiliza mhubiri mmoja nikafikiria sana. Kasema hivi BBC wanamhubiri Yesu? Akasema wakristo wana roho mtakatifu wa kunyambua mambo, na hawahitaji BBC kuwaambia nani ni mtumishi wa kweli. Nami nikajiuliza hivi BBC kuna mhubiri yoyote wanamkubali? BBC hata kumtaja Yesu tu hawataki.
 
• Mwili unakuwa upo kitandani, Umepumzika kotokana na mihangaiko ya hapa na pale.
Sasa inakuaje unakuwa tena unajiona kabisa upo eneo lingine? Hujawahi fikiria kuwa kifo kinaweza kuwa ni ndoto ya milele? Sayansi imeshathibitisha pasipo shaka kuwa ndoto ni 100% imetoka kwenye ubongo na ubongo ukifa na ndoto zinapotea?
• Safari za kwenda sayari Nyingine, hizo ni safari za kibinadamu, siyo safari za mfu. Ndo maana wanatumia vyombo vya anga.
Safari ni safari. Hata kifo ni safari.
 
Hivi vitu haitokei kwa bahati mbaya, watu wanakaa na kupima uelewa wa watu ili waangalie namna ya kufanikisha malengo yao, Africa tulishakamatwa na wazungu, mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali madai dhidi ya Tb Joshua, kesho mtaambiwa watawala wenu ni wabaya inatakiwa tuwalindoe madarakani kwa nguvu atakubali na nchi zenu ziharibike, mfano Libya ya Ghadafi, leo yako wapi? Mbona Ukata kuna sekendo kubwa za ushoga, abortion vitu hatari sana, lakini hatuoni BBC wanahoji hao watu.?
 
• Huwezi kujiona wakati umelala mkuu, hizo ndoto ni masuala ya ubongo kuchakata mambo ili yakae fresh, baada ya ubongo wako kuupitisha kwenye Makelele(k/koo) na sehemu zenye jua kali bila kupumzika.

• Ukifuatilia zaidi binadam katika ndoto tumetofautina, wengine huota ndoto yaliyo tokea mchana(kumbukumbu) , wengine huota ndoto za maono(mambo yatakayo tokea kesho yake), wengine huota ndoto vitu ambavyo havieleweki(yani akiamka asubuhi hakumbuki chochote kile alicho kuwa anaota usiku ).


• Safari ya kifo ni fupi sana:-
Safari yake ni kutoka morgue kwenda makaburini kuzikwa, baada ya kuzikwa utaliwa na wadudu.


Je, toka ulivyoanza kuiona hii Dunia, kuna mtu alishawahi kusema anataka kufa mapema ili awahi kwenda kwa mwenyezi mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…