PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wameonesha uhalifu wa 'waandamanaji '?
"When a dog bites a man, that is not news, but when a man bites a dog, that is news"...,

Hizo habari za uhalifu hata media za ndani na watu watazitoa na hao wahalifu wangeshikwa na kupelekwa korokoroni kwa taratibu tulizojiwekea sio watu tunaowalipa watulinde kwa kuepusha uhalifu wanageuka kuwa a Judge, Jury and Executioners with Trigger happy Fingers...

Am sorry hapa you are defending the indefensible
 
Ukiiba na ukaharibu mali ukakimbilia ndani utafatwa hadi uvunguni kwenu hakuna huruma katika hilo.

Katika operation ya kupambana na nyumbu ni kweli wako watu wasio na hatia wameuwawa pia kwasababu risasi haina macho hao tu ndo ninahuruma nao, lakini nyumbu wezi waharibifu wa mali wanatakiwa wafe na wafe tena
 
Ukinyoosha kidole, vitano vinakutazama

 
Wewe ni msengeee
 
Wahalifu huwa wanakamatwa na kufunguliwa mashtaka, sio kupigwa risasi za kichwa. Huwezi kujustify mauaji ya kimbari namna hiyo eti kwa kisingizio cha uharibifu wa mali. Hizo mali zitarudi, uhai wa mtu hauwezi kurudi.
hao wanaokamatwaga mtaani na kuuliwa hua huwaoni 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…