PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wameonesha uhalifu wa 'waandamanaji '?
Wewe ni mavi matupu kichwani. Kwa hiyo unaona kuua binadamu na kuzika kwenye makaburi ya halaiki ndiyo njia sahihi? fala wewe unayehusika na utekaji. Hauna hata akili, hao akina abdul na wenzake kama waliua kwa haki kwanini wanaficha maiti za watu? Mbwa wewe
 
Mbwa ni waliofanya uhalifu na vurugu wakidai haki bila hata kujua haki wanayodai
 
Gaidi hana hata kisu?acha mzaha na uhai wa binaadam.
 
Afu nasikia kunao wengine majeruhi waliwekwa ktk mitambo ya kuchakatia mchanga, huko wazo ktk kiwanda cha saruji.
Jamanii watu wamekufa vibaya hivyo,
😢😢😭😭
Tulidanganywa kuambiwa Shetani yupo kuzimu, Shetani yupo hapo Ikulu za Tanzania
 
Hiyo video ya kuzika nguo na viatu imeniuma mno 😪😪
 
Sheikh sharifu majini kumbe aliiba?
 
Kwahiyo na wewe nyumbu ukaamini kuna vijana wanaweza kutumwa kuchimba makaburi? Excavator hazipo au? Watu wawili tu wanatosha kuchimba na nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakazikwa hapo.
Sema kimewalamba
Hakunaga Siri duniani
 
Unafanya uhalifu kusudi ukitegemea kukamatwa
Huyo jamaa akili kisoda. Huko mitaani kwao tu mwizi wa sufuria wanamchoma kwa matairi. Ndo itakuwa hawa waliotaka kuchoma taifa Zima?
Nb. Nasikitika kwamba wengine walikumbwa na risasi bila hatua. RIP brothers.
 
Nina huzuni kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…