Pascal MayallaWakuu,
Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam.
Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi ya kuchimba makaburi makubwa sehemu hiyo.
Pengine watu wakienda hapo wanaweza kukuta miili ya wapendwa wao ambao sasa hawajulikani walipo.
Haya Makaburi ya Kondo yapo wapi Wakuu?
View attachment 3505187
View attachment 3505196
Kwahiyo na wewe nyumbu ukaamini kuna vijana wanaweza kutumwa kuchimba makaburi? Excavator hazipo au? Watu wawili tu wanatosha kuchimba na nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakazikwa hapo.
Kuna miili 300+ imezikwa hapo,malori zaidi ya nne yenye miili ilikuwepo hapo around saa 6 hadi saa tisa usiku ,walichimba na kijiko wala si vijana!! Inasikitisha Sana...Hata kama wakiiondoa baada ya CNN kuweka ushahidi bado traces za mashimo zitakuwepo ,sehemu yeyote iliyochimbwa ikaja kufukuliwa inaonekana tu.......satelite is watching 'em.King Kong III hapa una la kusema vizuri
Wewe Gallow bird unatetea mafisadi na Samia, wewe ni mshenzi usiye na huruma wala akili japo ya kufikiri kujua jema na baya.Tumeandamana na tutaendelea kuandamana hadi huyo mama kichwa chake kiwe mviringo kuliko alivyo sasa kama Chupaki. Hatuwezi kutuua wote watu millioni 70. Fala ninyi.Mbwa ni waliofanya uhalifu na vurugu wakidai haki bila hata kujua haki wanayodai
Gallow ni vampire nyonya damu na anamiliki majini ni kampani moja na abduli achana naeWewe Gallow bird unatetea mafisadi na Samia, wewe ni mshenzi usiye na huruma wala akili japo ya kufikiri kujua jema na baya.Tumeandamana na tutaendelea kuandamana hadi huyo mama kichwa chake kiwe mviringo kuliko alivyo sasa kama Chupaki. Hatuwezi kutuua wote watu millioni 70. Fala ninyi.
Hakuna wa kumsaidia mwenzake hapo.Yaani huko ccm kiongozi wao ni chura kiziwi, halafu wanachama wake ni vipofu! Astaghfrillah.
Walikuwa na silaha yoyote?Kuna aina za wahalifu unaweza kuwakamata tena wengine hata kwa kusogeza siku, kwamba huyo nitamkamata kesho.
Hawa sio kama ilikuwa lazima wapate stahiki zao mapema maana lengo lao ni UGAIDI, na wa hivvo ukichelewa utakufa wewe.
Kwahiyo nguvu iliyotumika ni SAHIHI KABISA.
We makaburi ya nchi nzima unayajua location zake?Naona humu watu wanadanganyana tuuu kuhusu makaburi ya kondo
Watz hawajui Nchi yao
Kabla sijakufahamu nilikua nakuheshimu ila basi tuKwahiyo na wewe nyumbu ukaamini kuna vijana wanaweza kutumwa kuchimba makaburi? Excavator hazipo au? Watu wawili tu wanatosha kuchimba na nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakazikwa hapo.
Sheria.Unafanya uhalifu kusudi ukitegemea kukamatwa
Gaidi hana silaha? Mbona hadi sasa bado wanakamata watu?Kuna aina za wahalifu unaweza kuwakamata tena wengine hata kwa kusogeza siku, kwamba huyo nitamkamata kesho.
Hawa sio kama ilikuwa lazima wapate stahiki zao mapema maana lengo lao ni UGAIDI, na wa hivvo ukichelewa utakufa wewe.
Kwahiyo nguvu iliyotumika ni SAHIHI KABISA.
Sheria inasemaje kwa mtu aliyejaribu kupindua nchi akashindwa?Sheria.
Wale waliyokuwa wanaiba hadi maklet soda na kuharibu mali za watu ndio walikuwa wanapindua nchi?Sheria inasemaje kwa mtu aliyejaribu kupindua nchi akashindwa?
Maandamano/vurugu bila ukomo,kuchoma miundombinu,tutafika hadi ikulu.. ilikua ni kitu gani?..mnajisahaulisha kauli mbiu zenu wenyewe!!..tutakinukisha pasikalike,hatakiwi,kakataliwa mbinguni na duniani, mzanzibar arudi kwaoWale waliyokuwa wanaiba hadi maklet soda na kuharibu mali za watu ndio walikuwa wanapindua nchi?
Mimi naeleza uhalisi wa kile ambacho kilichotokea, kwamba watu walikuwa wakiiba na kuharibu mali binafsi za watu pamoja na miundombinu na watu hao hawakuwa na silaha za kujibizana na polisi.Maandamano/vurugu bila ukomo,kuchoma miundombinu,tutafika hadi ikulu.. ilikua ni kitu gani?..mnajisahaulisha kauli mbiu zenu wenyewe!!..tutakinukisha pasikalike,hatakiwi,kakataliwa mbinguni na duniani, mzanzibar arudi kwao
Halafu mkataka mchekewe!?
Uliniheshimu vipi kabla hujanifahamu?Kabla sijakufahamu nilikua nakuheshimu ila basi tu
Au sio?Wahalifu kama wale ni shaba tu