Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Pascal MayallaWakuu,
Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam.
Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi ya kuchimba makaburi makubwa sehemu hiyo.
Pengine watu wakienda hapo wanaweza kukuta miili ya wapendwa wao ambao sasa hawajulikani walipo.
Haya Makaburi ya Kondo yapo wapi Wakuu?
View attachment 3505187
View attachment 3505196
Hivi upo Tanzania? Au ulipitiwa na 🔫 kama mwenzako wa Clouds?