- Thread starter
- #21
Cjui hata kama unaelewa kitu ndugu yangu!Ubaya ubwela. Hawa wote wanasadikika kuwa viongozi wabaya wengi wao walisomea seminary. Sasa njoo na kejeli tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cjui hata kama unaelewa kitu ndugu yangu!Ubaya ubwela. Hawa wote wanasadikika kuwa viongozi wabaya wengi wao walisomea seminary. Sasa njoo na kejeli tena
Wewe unaweza kuendesha maisha yako kwa mshahara wa laki 3 kwa mwezi?Hakuna mshahara unaotosha! Msitumie mshahara kutetea tabia mbovu!
Hata wanaojiuza hujitetea hawana ajira! So tabia mbaya ni mbaya tu
Mbona sioni Cha maana, hapa ndo unatoa wito Kwa waziri wa elimu ? Tena professor?🫢 Labda Kwa mwalimu mkuu, hata bodi ya shule Bado siafikiNimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto!
Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao wabadhamana ya kulea watoto wetu kielimu!
Miongoni mwa mambo niliyobaini
1. Walimu hawafuati ratiba ya masomo! Mfano ratiba ya siku ya watoto somo A, anaingia mwalimu wa somo E n.k hii inawafanya watoto wabebe mizigo mikubwa jambo linalowaathili kiafya ukubwani
2. Baadhi ya walimu wanafanya vibiashara kwa lazima kwa watoto mfano! Mwalimu anakuwa na biskuti zile za azam za miatano! Anazibanua kipande kimoja kimoja anawauzia watoto kila kipante cha biskuti tsh 100! Ambae hana anakopesha kwa nguvu kesho alete hela.
3. Baadhi ya walimu wanaingia kwenye darasa wanawagawia visheti, viubuyu watoto kwa lazima na kuwadai pesa jambo linalowafundisha watoto tabia mbaya ikiwemo wizi kwa kuhofia kuchapwa na walimu hao
4. Wanawapanga watoto cha kusema maafisa elimu wanapopanga kuja kutembelea shule! Huwa wanawatishia kuwa atakayesema atafukuzwa shule n.k
Kwa mifano michache ya tabia hizi hawa walimu wanatufundishia tabia mbaya sana kwa watoto!
Tunaomba waziri wa elimu ukalitazame hili, maafisa elimu wako hawatumii mbinu kuwahoji watoto hata kushtukiza,
Walimu wakuu wanakula a kugawana migao ya michango mbalimbali ya watoto..
Ni tabia mbaya sana kuwafanya watoto dili badala kuwafundisha maadili mema!
Tunaandaa watekaji wa baadae pasipo kujua wanaoligharimu taifa!
Kwahiyo ni halali hata kuiba ili kujazia mshaharaWewe unaweza kuendesha maisha yako kwa mshahara wa laki 3 kwa mwezi?
Jibu swali la msingi.Kwahiyo ni halali hata kuiba ili kujazia mshahara
Mtoto mwenyewe huna pia utaelewa nnMbon
Mbona sioni Cha maana, hapa ndo inatoa wito Kwa waziri wa elimu ? Tena professor?🫢 Labda Kwa mwalimu mkuu, hata bodi ya shule Bado siafiki
Hata wasingekuwa na mishahara! Hawatakiwi kufanya huo ujinga kwa watotoJibu swali la msingi.
Ungedadavua hivi swala la utekaji na mauaji ya raisa ningekuona una fikiri vizuri,Nimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto!
Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao wabadhamana ya kulea watoto wetu kielimu!
Miongoni mwa mambo niliyobaini
1. Walimu hawafuati ratiba ya masomo! Mfano ratiba ya siku ya watoto somo A, anaingia mwalimu wa somo E n.k hii inawafanya watoto wabebe mizigo mikubwa jambo linalowaathili kiafya ukubwani
2. Baadhi ya walimu wanafanya vibiashara kwa lazima kwa watoto mfano! Mwalimu anakuwa na biskuti zile za azam za miatano! Anazibanua kipande kimoja kimoja anawauzia watoto kila kipante cha biskuti tsh 100! Ambae hana anakopesha kwa nguvu kesho alete hela.
3. Baadhi ya walimu wanaingia kwenye darasa wanawagawia visheti, viubuyu watoto kwa lazima na kuwadai pesa jambo linalowafundisha watoto tabia mbaya ikiwemo wizi kwa kuhofia kuchapwa na walimu hao
4. Wanawapanga watoto cha kusema maafisa elimu wanapopanga kuja kutembelea shule! Huwa wanawatishia kuwa atakayesema atafukuzwa shule n.k
Kwa mifano michache ya tabia hizi hawa walimu wanatufundishia tabia mbaya sana kwa watoto!
Tunaomba waziri wa elimu ukalitazame hili, maafisa elimu wako hawatumii mbinu kuwahoji watoto hata kushtukiza,
Walimu wakuu wanakula a kugawana migao ya michango mbalimbali ya watoto..
Ni tabia mbaya sana kuwafanya watoto dili badala kuwafundisha maadili mema!
Tunaandaa watekaji wa baadae pasipo kujua wanaoligharimu taifa!
Mnabandua vibiskuti kila upande 100 mnawalazimisha watoto, mnadhambi sanaUmesema tunauza visheti na Kubanua biskuti??!! 🤣🤣🤣🤣
Okee okee 🤒
Wakati huo wewe utakuwa unatimiza majukumu yao?Hata wasingekuwa na mishahara! Hawatakiwi kufanya huo ujinga kwa watoto
Kwan wao ndiyo walimu wa kwanza karne hii? Wengine mbona hawafanyi huo ujingaWakati huo wewe utakuwa unatimiza majukumu yao?
🤣🤣🤣🤣 Jamani nimecheka sana🙌Mnabandua vibiskuti kila upande 100 mnawalazimisha watoto, mnadhambi sana
Huu uchunguzi wako umefanya kwa shule za mjini au mijini?Nimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto!
Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao wabadhamana ya kulea watoto wetu kielimu!
Miongoni mwa mambo niliyobaini
1. Walimu hawafuati ratiba ya masomo! Mfano ratiba ya siku ya watoto somo A, anaingia mwalimu wa somo E n.k hii inawafanya watoto wabebe mizigo mikubwa jambo linalowaathili kiafya ukubwani
2. Baadhi ya walimu wanafanya vibiashara kwa lazima kwa watoto mfano! Mwalimu anakuwa na biskuti zile za azam za miatano! Anazibanua kipande kimoja kimoja anawauzia watoto kila kipante cha biskuti tsh 100! Ambae hana anakopesha kwa nguvu kesho alete hela.
3. Baadhi ya walimu wanaingia kwenye darasa wanawagawia visheti, viubuyu watoto kwa lazima na kuwadai pesa jambo linalowafundisha watoto tabia mbaya ikiwemo wizi kwa kuhofia kuchapwa na walimu hao
4. Wanawapanga watoto cha kusema maafisa elimu wanapopanga kuja kutembelea shule! Huwa wanawatishia kuwa atakayesema atafukuzwa shule n.k
Kwa mifano michache ya tabia hizi hawa walimu wanatufundishia tabia mbaya sana kwa watoto!
Tunaomba waziri wa elimu ukalitazame hili, maafisa elimu wako hawatumii mbinu kuwahoji watoto hata kushtukiza,
Walimu wakuu wanakula a kugawana migao ya michango mbalimbali ya watoto..
Ni tabia mbaya sana kuwafanya watoto dili badala kuwafundisha maadili mema!
Tunaandaa watekaji wa baadae pasipo kujua wanaoligharimu taifa!
Jibu swali la msingi, usipinde kona...Kwan wao ndiyo walimu wa kwanza karne hii? Wengine mbona hawafanyi huo ujinga
Wapo walimu wanalala na vivulana it's trueWapo waalim wanalala na visichana It's true
Sielewi kwa maana umeegemea kumsema vibaya mtu mmoja(mwalimu) why always wao tu. Mbona madaktari wanatorosha dawa wanasusia wagonjwa mpaka wanapoteza uhai..?Cjui hata kama unaelewa kitu ndugu yangu!
Ndugu hivi unaelewa tatizo ni kubwa sana! Yaan vimwalimu kama vichaa matukio wanayofanya ni aibuHuu uchunguzi wako umefanya kwa shule za mjini au mijini?
Scope ya hili tatizo ni kwa kiwango gani ?
Usije ukawa umetembelea shule moja unakuja findings zako kugeneralise.