Uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali umebaini zipo tabia mbaya kwa baadhi ya walimu

Nimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto!

Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao wabadhamana ya kulea watoto wetu kielimu!
Miongoni mwa mambo niliyobaini
1. Walimu hawafuati ratiba ya masomo! Mfano ratiba ya siku ya watoto somo A, anaingia mwalimu wa somo E n.k hii inawafanya watoto wabebe mizigo mikubwa jambo linalowaathili kiafya ukubwani

2. Baadhi ya walimu wanafanya vibiashara kwa lazima kwa watoto mfano! Mwalimu anakuwa na biskuti zile za azam za miatano! Anazibanua kipande kimoja kimoja anawauzia watoto kila kipante cha biskuti tsh 100! Ambae hana anakopesha kwa nguvu kesho alete hela.

3. Baadhi ya walimu wanaingia kwenye darasa wanawagawia visheti, viubuyu watoto kwa lazima na kuwadai pesa jambo linalowafundisha watoto tabia mbaya ikiwemo wizi kwa kuhofia kuchapwa na walimu hao

4. Wanawapanga watoto cha kusema maafisa elimu wanapopanga kuja kutembelea shule! Huwa wanawatishia kuwa atakayesema atafukuzwa shule n.k

Kwa mifano michache ya tabia hizi hawa walimu wanatufundishia tabia mbaya sana kwa watoto!

Tunaomba waziri wa elimu ukalitazame hili, maafisa elimu wako hawatumii mbinu kuwahoji watoto hata kushtukiza,

Walimu wakuu wanakula a kugawana migao ya michango mbalimbali ya watoto..

Ni tabia mbaya sana kuwafanya watoto dili badala kuwafundisha maadili mema!

Tunaandaa watekaji wa baadae pasipo kujua wanaoligharimu taifa!
Kumpa mtoto bidhaa na kumlazimisha alipe fedha ni mbaya inaweza kuwaathiri watoto kisaikolojia na hivyo kuathiri ujifunzaji hususan Kwa wasio na ela ya kulipa. Cha msingi Tuwe jirani na watoto wetu,. Mara tukibaini tatizo tutumie njia stahiki kulitatua k.v kuripoti Kwa viongozi
 
Sielewi kwa maana umeegemea kumsema vibaya mtu mmoja(mwalimu) why always wao tu. Mbona madaktari wanatorosha dawa wanasusia wagonjwa mpaka wanapoteza uhai..?
Nimeema mara nyingi hauko sawa ndugu hii mada iache ikupite hatuzunguzii wagonhwa hapa
 
Kumpa mtoto bidhaa na kumlazimisha alipe fedha ni mbaya inaweza kuwaathiri watoto kisaikolojia na hivyo kuathiri ujifunzaji hususan Kwa wasio na ela ya kulipa. Cha msingi Tuwe jirani na watoto wetu,. Mara tukibaini tatizo tutumie njia stahiki kulitatua k.v kuripoti Kwa viongozi
Hili tatizo limeota mizizi kila shule hadi wizara iingilie kati! Wanaofanya hiyo michezo watupwe mbali
 
Brother kukaa na njaa haihalalishi uwe shoga
Sasa ushoga umeuleta ww. Wamebuni namna ya kupata marupurupu hivo waungishen biashara zao. Waalimu wateja wao n wanafunz wafanyeje. Kuna kiongozi aliwaruhusu polisi kula mlungula
 
Nimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto!

Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao wabadhamana ya kulea watoto wetu kielimu!
Miongoni mwa mambo niliyobaini
1. Walimu hawafuati ratiba ya masomo! Mfano ratiba ya siku ya watoto somo A, anaingia mwalimu wa somo E n.k hii inawafanya watoto wabebe mizigo mikubwa jambo linalowaathili kiafya ukubwani

2. Baadhi ya walimu wanafanya vibiashara kwa lazima kwa watoto mfano! Mwalimu anakuwa na biskuti zile za azam za miatano! Anazibanua kipande kimoja kimoja anawauzia watoto kila kipante cha biskuti tsh 100! Ambae hana anakopesha kwa nguvu kesho alete hela.

3. Baadhi ya walimu wanaingia kwenye darasa wanawagawia visheti, viubuyu watoto kwa lazima na kuwadai pesa jambo linalowafundisha watoto tabia mbaya ikiwemo wizi kwa kuhofia kuchapwa na walimu hao

4. Wanawapanga watoto cha kusema maafisa elimu wanapopanga kuja kutembelea shule! Huwa wanawatishia kuwa atakayesema atafukuzwa shule n.k

Kwa mifano michache ya tabia hizi hawa walimu wanatufundishia tabia mbaya sana kwa watoto!

Tunaomba waziri wa elimu ukalitazame hili, maafisa elimu wako hawatumii mbinu kuwahoji watoto hata kushtukiza,

Walimu wakuu wanakula a kugawana migao ya michango mbalimbali ya watoto..

Ni tabia mbaya sana kuwafanya watoto dili badala kuwafundisha maadili mema!

Tunaandaa watekaji wa baadae pasipo kujua wanaoligharimu taifa!
Jamani waacheni walimu wapumue. Wataishije hapa mjini. Mshahara wa mwalimu kwa mwezi ni mdogo kuliko posho ya mbunge ya siku moja. Acha kuwabagaza walimu kwa namna yoyote ile.
 
Ukute ww na mwanao ndio wenye makosa. Ok. Ipo hivi kazi ya mtu unaweza ikosoa ikiwa tu mwanao labda ameamua kukupa uongo ili uweke trust ya ujuha wa mwanao. Hakuna shule mtu ana lazimishwa kununua kitu cha mwalimu. Vitu vunavyo lazimishwa n kma program zilizopangwa baina ya wazazi na waalimu. Over.
We kiazi utakuwa ni mwalimu, walimu wana upuuzi mwingi acha kutetea jinga wewe
 
Kwahyo ndugu mzazi unashindwa kutafuta hiyo 100 tu, tupate nguvu ya kuendelea kumtengeneza pilot wako. Halafu masuala ya kipindi A kuingia mwalimu wa kipindi Z hayo ni nje na kaz yako, huko mbele utaanza kutufundisha na mpangilio wa mada.

Umaskini ni kazi kweli/ Poverty is work true
 
Mpeleke mtoto shule za maana, ushasikia st what mwalimu anauza visheti? Au Ilboru huko mwalimu anauza vipande vya biscuit??

Ukimeta chaurembo shule ya msingi, tutamuuzia tu 😹
Tule kwa urefu wa kamba.

Nasisitiza, ndugu mzazi hakikisha unampa mwanao hela ya kununua visheti na biskuti. Mia sio hela ya kumnyima mwalimu.

Kazi iendelee.
 
Mimi wajukuu zangu wanasoma huko,anachosema mleta mada ni ukweli mtupu,ila kwakuwa Jf imejaa walimu lazima mpinge
Sio kila litakalo semwa lina ukweli kwa 100% kwa .mleta mada na sisi wachangiaji tuseme mazingira yapo tofauti
 
Hao walimu akili zao wanazijua wenyewe sijui ni kwakuwa wanashinda na watoto kwahiyo akili nazo zinakuwa za kitoto
Ujuaji mwingi
Kejeli nyingi
Majivuno mengi
Dharau nyingi
Vijembe utafikiri wote watoto wa mtu mmoja
Ndugu mzazi, kwa heshima na taadhima unakumbushwa usisahau kumpa mtoto mia au hata mia mbili. Tena mpe kabla hajalala ili Asubuhi isiwe usumbufu.
 
Kumpa mtoto bidhaa na kumlazimisha alipe fedha ni mbaya inaweza kuwaathiri watoto kisaikolojia na hivyo kuathiri ujifunzaji hususan Kwa wasio na ela ya kulipa. Cha msingi Tuwe jirani na watoto wetu,. Mara tukibaini tatizo tutumie njia stahiki kulitatua k.v kuripoti Kwa viongozi
Sidhani km Kuna icho kitu sabbu ni kinyume Cha sheria
Nachofahamu shule nying Kuna utaratibu wa chakula Cha asubuhi na mchana inategemea na madarasa wazazi na kamati hukaa kukubaliana kias Cha pesa kwaajili ya chakula so km mtoto wako humpi pesa ya kula anakaa na njaa uwezekano wa kukuibia ni Mkubwa imagine asubuhi had saa 9 na nusu mtoto hajala why asiibe

Kuhusu vibiscut sijui pipi hakuna mwenye mamlak ya kufanya hivo na km wapo bas Kwa ni kinyume Cha sheria asiweke Kwa watu wote

Kuhusu vipindi Mwalimu anakuwa na ratiba ya kufundisha vipindi vyake kilasiku lakin maranying kunakuwa na mikondo miwili na Zaid Tena Kuna shule darasa moja Lina wanafunz mia 3 so Mwalimu yupo A Kwa bahat kachelewa kuingia B Mwalimu X lazima ataenda B Ili kuepuka kuwaacha watoto bila kazi
Kuna dharula Kwa walimu so wasisome kipind kingine had Mwalimu husika awepo Hilo haiwezekani ni utaratibu upo na sio kuvunja sheria ni kuweka mambo sawa

Kisheria idadi ya darasa moja nafikir ni wanafunz 50 lkn kunawanafunz darasani had 120 mbona Huwa hawasemi kuwa walimu wanaonewa
 
Ndugu mzazi, kwa heshima na taadhima unakumbushwa usisahau kumpa mtoto mia au hata mia mbili. Tena mpe kabla hajalala ili Asubuhi isiwe usumbufu.
😂😂😂😂Asipompa ataiba
 
Sasa watu wanafanya ujinga kama huu wanafundisha maadili gan kwa watoto, baadae tunakuwa na jamii kichwa ngumu kumbe msingo wake ni huu ujinga wanafundishwa na walimu
Mfundishe mwanao maadili mema, huku shule tunakazia tu maarifa. Pia tunawapa ujuzi wa biashara, kuwa na shukrani ndugu mzazi.
 
Sidhani km Kuna icho kitu sabbu ni kinyume Cha sheria
Nachofahamu shule nying Kuna utaratibu wa chakula Cha asubuhi na mchana inategemea na madarasa wazazi na kamati hukaa kukubaliana kias Cha pesa kwaajili ya chakula so km mtoto wako humpi pesa ya kula anakaa na njaa uwezekano wa kukuibia ni Mkubwa imagine asubuhi had saa 9 na nusu mtoto hajala why asiibe

Kuhusu vibiscut sijui pipi hakuna mwenye mamlak ya kufanya hivo na km wapo bas Kwa ni kinyume Cha sheria asiweke Kwa watu wote

Kuhusu vipindi Mwalimu anakuwa na ratiba ya kufundisha vipindi vyake kilasiku lakin maranying kunakuwa na mikondo miwili na Zaid Tena Kuna shule darasa moja Lina wanafunz mia 3 so Mwalimu yupo A Kwa bahat kachelewa kuingia B Mwalimu X lazima ataenda B Ili kuepuka kuwaacha watoto bila kazi
Kuna dharula Kwa walimu so wasisome kipind kingine had Mwalimu husika awepo Hilo haiwezekani ni utaratibu upo na sio kuvunja sheria ni kuweka mambo sawa
Kisheria idadi ya darasa moja nafikir ni wanafunz 50 lkn kunawanafunz darasani had 120 mbona Huwa hawasemi kuwa walimu wanaonewa
Alivyo bumunda atakuelewa. Maana karefusha shingo kwa kubweka upuuzi. Hajui lolote na watoto wao wanawadanganya sana. Laiti tu waalimu wakaamua kuwapa wazazi mwez wa kuwafundisha watoto wao aisee tutawaomba waalimu msamaha
 
Back
Top Bottom