Uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali umebaini zipo tabia mbaya kwa baadhi ya walimu

Hakuna mshahara unaotosha! Msitumie mshahara kutetea tabia mbovu!
Hata wanaojiuza hujitetea hawana ajira! So tabia mbaya ni mbaya tu
Wewe unaweza kuendesha maisha yako kwa mshahara wa laki 3 kwa mwezi?
 
Mbon Mbona sioni Cha maana, hapa ndo unatoa wito Kwa waziri wa elimu ? Tena professor?🫢 Labda Kwa mwalimu mkuu, hata bodi ya shule Bado siafiki
 
Umesema tunauza visheti na Kubanua biskuti??!! 🤣🤣🤣🤣
Okee okee 🤒
 
Ungedadavua hivi swala la utekaji na mauaji ya raisa ningekuona una fikiri vizuri,
Hao mawaziri una wasema ndio wanao mdanganya rais kila siku
 
Huu uchunguzi wako umefanya kwa shule za mjini au mijini?
Scope ya hili tatizo ni kwa kiwango gani ?
Usije ukawa umetembelea shule moja unakuja findings zako kugeneralise.
 
Huu uchunguzi wako umefanya kwa shule za mjini au mijini?
Scope ya hili tatizo ni kwa kiwango gani ?
Usije ukawa umetembelea shule moja unakuja findings zako kugeneralise.
Ndugu hivi unaelewa tatizo ni kubwa sana! Yaan vimwalimu kama vichaa matukio wanayofanya ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…