Uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali umebaini zipo tabia mbaya kwa baadhi ya walimu

Upuzi unao ww. Na kiaz ni wewe. Why unalazimisha tukubali unalowaza ww acha ufala
Boya wewe, walimu ni kweli wana ujinga mwingi sana, juzi nimetoka kumfokea mmoja,analazimisha mjukuu wangu aende na jero ya twisheni, mimi wakati huo nishamtafutia tuition mtaani,

Anasema hata kama umemtafutia twisheni huko mtaani,bado eti yeye kabla ya masomo saa kumi na mbili asubui huwa wanafanyishwa mitihani ya kulipia, nikamuambia niorodheshee kwa mwaka mzima itakuwa sh. Ngapi mpe mtoto iyo hesabu aniletee , wala ajathubutu na hamsumbui tena kijana,


Kingine watoto asubui wanawapa uji wanaweka chumvi tu bila sukari, na asubui wakifika wanakwala ela za uji toka kwa watoto,

Serikali iwaboreshee maslai walimu ili kupunguza unyanyasaji kwa watoto,na pia kusaidia walimu wasiwe wehu
 
Ndugu mzazi, usiwasingizie walimu kwa kushindwa kwako kutimiza majukumu yako ipasavyo. Hao mliwaharibu nyie, walimu hatuhusiki.
 
Umaskini wa mali na akili unakusumbua...
Hivi huoni wabunge wanavyokula mamilioni ya kodi kwa ujinga ujinga? mtu kikao kimoja laki 3.
Huoni polisi wanavyokula rushwa na kusingia watu kesi ili wapate hela?
Huoni viongozi wa dini wanavyokuibia kwa kusema ukitoa ndio utaongezewa?.maskini mama wa watu kauza vitumbua kapata 10k anapeleka yote huku hana ugali wa kula na watoto.

Una chuki wivu na walimu, pia maisha yako ni ya kuungaunga ndio maana unalalamika. Kama vipi mtoe mwanao mpele international ili umtoe huko kwenye vumbi bila madawati

Ninyi ndio mnao amini elimu bure, ukafikiri serikali itamnulilia mwanao madaftari hadi chupi ya kuvaa. Ovyooooooooo!!!!!!!!!!!!!! To yeye Evelyn Salt Poor Brain dronedrake
 
Huna akili
 

Mkuu tambua kuwa huyu mwalimu naye ni binadamu ana dharura zake hivyo katika mwaka mzima siku 365 ,Kuna siku 194 za kufundisha si kweli kwamba mwalimu huyu yeye atakuwa mzima tu siku 194 za shule kuna dharura mbali mbali ,pia tambua kwamba huyu mwalimu ana siku 14 za kuugua,au kwenda kusalimia ndugu,misiba nk.

Sasa akiamua kuzitumia hizo usiku kwa ajili ya mambo yake unadhani ni siku zipi atakuja kufidia vipindi viluvyopotea ikiwa utataka kuwa ratiba ifuatwe Kila mara? Pia tambua kwamba Huyu mtumishi ana siku 365 za kuugua bila kuonekana kazini sasa akiamua kuzitumia hizo siku japo 30 tu ni lini atafidia vipindi viluvyopotea ?

Lakini tambua pia kuwa hawa watoto ni sawa na askari,askari anatakiwa awe tayari kwa vita wakati wowote. Askari hatakiwi kujua kwamba vita itatokea lini na muda gani hivyo anapaswa kuwa tayari Kwa mapigana Kila mara.


Acheni kudekeza watoto ,hata sisi walimu tuna watoto bwana ebbo!!! Unadhani ni kazi rahisi kusimamia darasa la watoto 200 Kwa mwalimu mmoja ilikhali miongozo inasema watoto 25 Kwa primary na 40 secondary Kwa Kila darasa!?
 
Hao mawaziri wanaowapa taarifa watoto wao wanasoma huko? sera ya elimu Bure ni ushumbwada mtupu
Miundombinu mibovu
Sera mbovu
Wanafunzi elf 1500 walimu 20 mzazi km haujiongezi mwanao hatoboi hakuna super power mmojakuhudumia wanafunz 300 kilasiku kufundisha na kusahihisha
Wangelia na serikali ningeona Wana uchungu sana
 
Ni kweli kabisa kuna baadhi ya walimu wana hizo tabia za kupeleka bidhaa shuleni kama ubuyu,karanga,keki na ice cream tabia hiyo sio nzuri kwa wanafunzi unakuta mtoto muda mwingi anawaza kununua kitu ili ale na sio kuwaza masomo.
 
Hii ya kuingiliana kwa vipindi inategemeana na uhaba wa walimu kwa mfano kuna shule x ina wanafunzi 1057 na ina walimu watano tu.
 
Aisee
 
Ni kweli kabisa kuna baadhi ya walimu wana hizo tabia za kupeleka bidhaa shuleni kama ubuyu,karanga,keki na ice cream tabia hiyo sio nzuri kwa wanafunzi unakuta mtoto muda mwingi anawaza kununua kitu ili ale na sio kuwaza masomo.
Noma tu
 
😄 punguza kwanza makasiriko mkuu mbona kama uhakika na usemayo
 
😄 punguza kwanza makasiriko mkuu mbona kama uhakika na usemayo
Ujue kuna tabia ndogo tunazichukulia poa ila zinaligharim sana taifa!
Kufundisha watoto uongo, kufundisha watoto wizi ndiyo maana kuna vitoto vya shule huko mtaani vinaranda randa kuomba mia kumbe vinaogopa shuleni vinadaiwa na walimu mia mia za pipi vilikopeshwa kwa lazima!

Ujue mtoto mdogo anapokuwa stressed na videni kama hivyo ni rahisi hata kulawitiwa ili apate pesa ya kumpa mwalimu shuleni ili asizomewe na watoto wengine kuwa anadaiwa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Walimu wanatembea na vipipi mifukoni vya kuwakopesha wanafunzi kwa lazima ! Unategemea mtoto anajifunza nn kama siyo kuanza kuwa mdokoz ili akalipe madeni kwa hofu ya viboko,
Wengine ndo kabisa ni rahisi kulawitiwa ili wapate pesa ya kulipa
 
Elimu ni gharama,sasa kama mtu mzima unalalamikia mia mbili,mia tano, ambayo ni kweli mwanao anakula visheti au kachori au anafanya hiyo mitihani......
Hivi private utaweza kweli??
Hivi kati ya mzazi na mwl ni nani mwenye nafasi kubwa ya ku shape tabia za mtoto??
Tuacheni kusingizia walimu.
Tuwajibike,tutafute pesa..umaskini si kitu kizuri kabisa.
Tafuta hela brother!!
 
Waza vizur sawasawa
 
Makofi kwako kiongozi. Mia 2, 3 nk analalamika kule wanapolipishwa 3M kwa mwaka atawezana..?
 
Makofi kwako kiongozi. Mia 2, 3 nk analalamika kule wanapolipishwa 3M kwa mwaka atawezana..?
Kulazimisha watoto kwa nguvu wakope vipipi huoni kuwa ni shida.. Kama unaona ni sawa basi taifa linasafar ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…