miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Khaaa mchaga wa wapi wewe una michambo ka mzaramo lol
Nilikuwa sina mpango wa kuloga mtu mwaka huu. Kuna mtu hapa atabadilishwa jinsia soon afu kimwaga upepo chake nakihamishia usoni.
Watch me...
Hahahaaaaa dua la Kuku Hilo!
Bora uturoge km Yale yaliyotokea Temeke!
Unataka kumjua? Ntakuonesha kesho....we si mchepuko lakini mbona unataka kuniharibia pozi hapa?
Hahahaaaaa dua la Kuku Hilo!
Bora uturoge km Yale yaliyotokea Temeke!
shikamoo kitenesi
Unajidai humtaki huku unamganda kidizaini....shika mwenyewe kama unaona mali
Mi nakuangalia tu....
Khaaa mchaga wa wapi wewe una michambo ka mzaramo lol
Inamuuma WALLET!
Nenda nenda mwanakwenda
he he he he he hehehe uwiii eti mapenzi