Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza siku hizi umeshamiri sana mjini. Chanzo ni nini?

wapo sana sema hapo itaonekana tuna promote ningekuambia ila tuishia hapa
Bhanaa wee hakuna tops wanao honga, zaidi ya vibopa na mafogo.
Hawa apeche alolo, ndo kwanza wao wanataka kupewa hela, yaana wanauza mboo..
Hunidanganyi mie, naijua hiyo industry nje ndani, mwaa mwiii,

Hao unaozungumzia wanahonga au wanaji Prouds, Lol.
 
Kuna Ustawi wa Jamii niliambiwa kabisa ukitaka species ya aina yoyote nitoe 50k na kweli nilionyeshewa sample ni vyuma kweli kweli vya kila aina vimodel, viuno nyigu wamefungasha, waliopanda ,weupe,weusi.
Hiyo biashara iko vyuo vyote, siku hizi hadi wanaume wanauzwa, ndo wanakia ma Gay, ndo maana gays wengi sahivi wako vyuoni au wanatokana na vyuo.
Full heka heka. Lol
 
Bhanaa wee hakuna tops wanao honga, zaidi ya vibopa na mafogo.
Hawa apeche alolo, ndo kwanza wao wanataka kupewa hela, yaana wanauza mboo..
Hunidanganyi mie, naijua hiyo industry nje ndani, mwaa mwiii,

Hao unaozungumzia wanahonga au wanaji Prouds, Lol.
najua kweli unaifahamu hii industry vizuri sana, natamani nikuambie kitu ila naona tuishie hapa
 
Sides, ni hawa wa kuchezeana, kunyonyana, kulambana only, hakuna kufanya tendo kabisa.

Yaan km Versatile wa kuchovya, 😂😂😂😂😂
Industry ina heka heka hii, haituliii. Lol
mamaqe hi n mpya aisee nimeiskia
 
samahani lakini; Unajua kwa nini nimekuambia unaishi karne ya 19?
Biblia imesema hivi, mwanamke anayekaa ndani kuzaa, na kulea familia; mwanamme atamtimizia mahitaji yake yoye. kwa hiyo kama umeoa mama wa nyumbani (wa kuzaa na kuangalia familia) ulicho sema ni sawa kabisa na ndio maelekezo ya biblia.

LAKINI Kama unamwachwa mwanamke wako atoke asubuhi kwenda kufanya kazi na watoto wenu wakose malezi bora ya mama badala yake walelewe na house girl halafu useme eti kipato chake hakihusu familia; unatakiwa ukapime afya ya akili
mke wangu ni mjasiriamali ila anachopata ni chake simsumbui kabisa nikiona kitu kimeungua ndani nanunua ili asipate mwanya wa kununua yeye hela yake atajua atakapoipeleka labda aniltee zawadi ndogo ndogo tu na watoto wake ila siwezi kamwe kumwambia leo nunua nyama na hela yako au nunua sukari nk. ila akiiweka vibaya sku nimekosa hela ya bia naiiba naenda kula kitimoto na bia hapo forest
 
Umeshasema mwenyewe kuwa, mke wako akiweka hela zake vibaya ukaziona UNAZIIBA, na ndio sababu nikashauri kuwa; watu wanao fanya haya, wanastahili kwenda kupima afya ya akili....
 
naichukua lakini sitaki ahudumie familia
 
sijasema imeanza leo nimesema imeshamiri kwa sasa yaani imezidi
Mkuu social media, watu kukosa aibu kama zamani na maisha magumu ndiyo kumefanya haya. Pia idadi ya watu imeongezeka hivyo ni lazima matukio yataongezeka. Zamani hata kuona rangi ya chupi ya mwanamke iikuwa kunamfanya alie kwa aibu, siku hizi wanajianika bila aibu.
 
Aisee dunia iko speed
 
Hiyo biashara iko vyuo vyote, siku hizi hadi wanaume wanauzwa, ndo wanakia ma Gay, ndo maana gays wengi sahivi wako vyuoni au wanatokana na vyuo.
Full heka heka. Lol
Moja kati ya watu wanao ufaham huu mji wa Dar madereva wa bodaboda,Bajaj,Ubber na bolt.Hawa jamaa wanavifahamu vitu vingi, kuna mwanangu yeye dereva wa bajaj ,akianza kukusimulia unajihisi kama mgeni. Siku hizi mabinti wa chuo wanakula vijiti tena pisi kali, hii ndio nilichoka kuna malaya wao wanawaingilia wanaume kwa kutumia dildo na tena wengi waume za watu ,halafu kuna hizi house party inapendwa sana na wanafunzi wa vyuo, hii wanakodi nyumba wanapimana magonjwa ya zinaa ,then baada ya hapo kuna kuwa mziki, vinywaji unakamata yoyote unagonga.
 
Full heka heka yaani, hakuna kutulia. Lol
 
Back
Top Bottom