DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
- Thread starter
- #41
poa poaKuna mwamba kasema hapo juu sio mimi mkuu.
poa poaKuna mwamba kasema hapo juu sio mimi mkuu.
sahivi zimehamia mtaan na mtandaoniHizi harakati zilianzia kwenye vikundi vya upatu aka vikoba
Ni balaa sana aiseesahivi zimehamia mtaan na mtandaoni
Nipe mchongo kuna nyumba ipo mbezi hapa Boss anataka 17MDalali
Mambo ya Social media sio maisha halisi, Umeingia Mjini lini Kaka?hujui wanawake wanavyotoa hela ili wapate wenza. nenda instagram tafuta hizo page uone vile mambo yalivyo. au jaribu Kuingia facebook ujaribu kupost kwamba kuna mwanaume ana sifa fulan anatafuta mke uone vile wanawake watakavyokusumbua huko inbox na kukuahidi kitita kirefu kama utawaunganishia
Mbezi ni kubwa, mbzi ipi?Nipe mchongo kuna nyumba ipo mbezi hapa Boss anataka 17M
Na Washamba wengi wamepigwa sana helaWanigeria huo udalali walianza kitambo sana
Mimi sikuambii maneno ya kusikia. soma ID yangu vizuri mimi naleta hapa kitu nilicho experience mwenyewe ndio maana nakuambiaMambo ya Social media sio maisha halisi, Umeingia Mjini lini Kaka?
Mwanaume wa Buhingwe au manyovu hawezi kuishi na mwanamke wa DSM hata kwa wiki mbiliKwa hiyo mnataka kusema wanaume wa ndoa wamekuwa bidhaa adimu? Hao wanawake wanaotaka waume wa kuwaoa waende bushi watapata wa kutosha. Bushi kuna wanaume wanataka kuoa wanawake wenye nazo
Madalali nyie tunawajua ni watu wa kusikia stori za gahawa na kuzikuza, mnajifanya mna taarifa sanaMimi sikuambii maneno ya kusikia. soma ID yangu vizuri mimi naleta hapa kitu nilicho experience mwenyewe ndio maana nakuambia
mbezi malamba mawii barabara ya KingaziMbezi ni kubwa, mbzi ipi?
Kweli kabisa, wanawake wanashindana wao kwa wao kuwa na majina mengi ili hali hawana pakuzipata hizo pesa, wanauza sana NyapuHizi harakati zilianzia kwenye vikundi vya upatu aka vikoba
Nyumba kweli au pagala?mbezi malamba mawii barabara ya Kingazi
Broo taarifa hizi sio za kusikia wala kusimuliwa ndio maana nimekuambia jaribu kupost hata uongo tu useme kuna mwanaume anafanya kazi kampuni x ana miaka kadhaa ana sifa fulan ambazo wanawake wanapenda useme mwenye kumtaka aje injbox nimuunganishe uone vile watashambulia inbox yakoMadalali nyie tunawajua ni watu wa kusikia stori za gahawa na kuzikuza, mnajifanya mna taarifa sana
Nyumba ina Vyumba vitatu, nzuri alikuwa anaishi ila amehamia SongeaNyumba kweli au pagala?
Ukuadi mbona uko siku nyingi tu. Au wewe umebalehe juzi?. Au umeingia Dar juzi? Ni hivi: wanawake wa aina hiyo wanatafuta wanaume washua wenye uwezo. Mtaani wanaume ni wengi tu lakini tatizo ni ''wana fedha''?Hello waungwana, mko salama? Poleni kwa shughuli za kila siku, na heri ya mwaka mpya.
Siku hizi mjini kuna biashara nyingi sana. Kuna wakati hadi unajiuliza, je, wanaume wameacha kutongoza au vipi? Maana wanawake wengi kwa sasa wanatafuta waume, na wako tayari hata kugharamia kuunganishwa na mwanaume.
Wanawake wengi, hasa waofisini, wanatamani kuolewa lakini hawatongozwi. Wapo tayari kutenga bajeti ili waunganishwe na mwanaume. Wengine wamefika hatua ya kufungua page zao kabisa Instagram, na hiyo ndiyo kazi yao kubwa wanafanya kukuunganisha upate mke/mume
Ninasema kwa uhakika kwa sababu nina ushahidi. Kuna jamaa aliwahi kunishirikisha kazi hii, na inalipa sana. Unaweza usiamini—unakuta dada yuko vizuri kabisa, ana kila kitu, ila changamoto ni moja tu: hatongozwi. Anakucheki, unamuunganishia mwanaume, ile namba ya simu unauziwa hata kwa laki tano, wanakutana na mambo yanaendelea.
Hapa ndipo panapochanganya: sijui hii ni fursa au ni tatizo kwenye suala la malezi na maadili. Mimi nafanya kazi maeneo ya Mikocheni, kuna jamaa amepanga apartment nzuri yenye hadhi ya juu, hana kazi nyingine—kazi yake ni hiyo tu. Na si kuunganisha watu wa kuoana pekee; anaunganisha hata wale malaya.
Yaani inafika siku mtu akiwa na upwiru, anampigia dalali na kumwambia amtafutie demu mwenye vigezo fulani—awe mwaminifu, aje hotel fulani. Dada analipa, na mwenye upwiru analipia pia; hapo ni 50/50.
Hii kazi ni risk sana. Ukimpeleka demu halafu akaenda kupiga tukio, lazima wewe uwajibike. Na demu akipata tatizo, wewe bado unawajibika. Kwa namna fulani unakuwa mdhamini wa wote wawili. Ni fursa inayolipa, lakini risk yake ni kubwa mno. Mimi mwenyewe nilijaribu kwa kama mwezi mmoja na nusu, nikagundua ni hatari sana. Kuna demu mmoja alikuwa anataka kuolewa, nikapewa mchongo nikamuunganisha na mtu, lakini kilichotokea baadaye ni cha ajabu sana—si rahisi hata kusimulia. Kuanzia hapo nikaamua kuachana nayo.
Mambo haya yanafanyika sana siku hizi.na Si wanawake au malaya tu hata wale magasho au wale wanaokula magasho nao unakuta mtu ana status nzuri mtaan hataki agundulike kam anakula magash anakupa mchongo umtafutie daah ni hatari.Ukipita maeneo kama Sinza, hali inashangaza. Sijui kama ni ugumu wa maisha, au ushirikina umezidi mjini
sijasema imeanza leo nimesema imeshamiri kwa sasa yaani imezidiUkuadi mbona uko siku nyingi tu. Au wewe umebalehe juzi?. Au umeingia Dar juzi? Ni hivi: wanawake wa aina hiyo wanatafuta wanaume washua wenye uwezo. Mtaani wanaume ni wengi tu lakini tatizo ni ''wana fedha''?