hahaha nenda hapo sinza wamejaa teleHebu niunganishie ligasho fast
hahahaKama wewe ni mteja wa "Bumpy" gonga like hapa..
Kula yule mabinti wamempa jina la Steve Ake ndio kazi yake iliyompa kura, ila yeye naunganisha wanasiasa na wafanya biashara wakubwa. Ila kweli siku hizi wanawake wanahonga na hawa wenye hela na stress za ndoa wapo kibao. Ila ninacho shangaa unakuta mke anamkimbia mume wakati wa changamoto za kiuchumi, halafu anaenda kukilea kamario, sometimes unajiuliza hivi anajua anachofanya.Hello waungwana, mko salama? Poleni kwa shughuli za kila siku, na heri ya mwaka mpya.
Siku hizi mjini kuna biashara nyingi sana. Kuna wakati hadi unajiuliza, je, wanaume wameacha kutongoza au vipi? Maana wanawake wengi kwa sasa wanatafuta waume, na wako tayari hata kugharamia kuunganishwa na mwanaume.
Wanawake wengi, hasa waofisini, wanatamani kuolewa lakini hawatongozwi. Wapo tayari kutenga bajeti ili waunganishwe na mwanaume. Wengine wamefika hatua ya kufungua page zao kabisa Instagram, na hiyo ndiyo kazi yao kubwa wanafanya kukuunganisha upate mke/mume
Ninasema kwa uhakika kwa sababu nina ushahidi. Kuna jamaa aliwahi kunishirikisha kazi hii, na inalipa sana. Unaweza usiamini—unakuta dada yuko vizuri kabisa, ana kila kitu, ila changamoto ni moja tu: hatongozwi. Anakucheki, unamuunganishia mwanaume, ile namba ya simu unauziwa hata kwa laki tano, wanakutana na mambo yanaendelea.
Hapa ndipo panapochanganya: sijui hii ni fursa au ni tatizo kwenye suala la malezi na maadili. Mimi nafanya kazi maeneo ya Mikocheni, kuna jamaa amepanga apartment nzuri yenye hadhi ya juu, hana kazi nyingine—kazi yake ni hiyo tu. Na si kuunganisha watu wa kuoana pekee; anaunganisha hata wale malaya.
Yaani inafika siku mtu akiwa na upwiru, anampigia dalali na kumwambia amtafutie demu mwenye vigezo fulani—awe mwaminifu, aje hotel fulani. Dada analipa, na mwenye upwiru analipia pia; hapo ni 50/50.
Hii kazi ni risk sana. Ukimpeleka demu halafu akaenda kupiga tukio, lazima wewe uwajibike. Na demu akipata tatizo, wewe bado unawajibika. Kwa namna fulani unakuwa mdhamini wa wote wawili. Ni fursa inayolipa, lakini risk yake ni kubwa mno. Mimi mwenyewe nilijaribu kwa kama mwezi mmoja na nusu, nikagundua ni hatari sana. Kuna demu mmoja alikuwa anataka kuolewa, nikapewa mchongo nikamuunganisha na mtu, lakini kilichotokea baadaye ni cha ajabu sana—si rahisi hata kusimulia. Kuanzia hapo nikaamua kuachana nayo.
Mambo haya yanafanyika sana siku hizi.na Si wanawake au malaya tu hata wale magasho au wale wanaokula magasho nao unakuta mtu ana status nzuri mtaan hataki agundulike kam anakula magash anakupa mchongo umtafutie daah ni hatari.Ukipita maeneo kama Sinza, hali inashangaza. Sijui kama ni ugumu wa maisha, au ushirikina umezidi mjini
steve ake ndio kazi yake kubwa inayomuweka mjni , alafu aunt ezekieli yeye ana dili na mashoga tu, niliwahi kusikia hata diwan wa soko kubwa naye ilikuwa kazi yake ila sasa ni kama wamemkataa kwa sababu ya friji lake haligandishi.Kula yule mabinti wamempa jina la Steve Ake ndio kazi yake iliyompa kura, ila yeye naunganisha wanasiasa na wafanya biashara wakubwa. Ila kweli siku hizi wanawake wanahonga na hawa wenye hela na stress za ndoa wapo kibao. Ila ninacho shangaa unakuta mke anamkimbia mume wakati wa changamoto za kiuchumi, halafu anaenda kukilea kamario, sometimes unajiuliza hivi anajua anachofanya.
Hata hapa JF Wapo na tunawashukuru sana maana kwa waliofunga PM sijui ingekuwaje!Chaap..nchi nzima wapo madalali ya hiyo mambo
bora usijue inaweza kuifanya chai yako ikawa chungu au ikakupa kichefuchefuMagash ni nini?
Nielezee mkuu niweze kuwaepuka pia!bora usijue inaweza kuifanya chai yako ikawa chungu au ikakupa kichefuchefu
Watu wapo Nje ya mudaMiaka 40+ ni mwendo wa wasi wasi sana ikibidi hata kwa namna yoyote ile ilimradi mwenza apatikane!😂
Gasho isome kuanzia nyumaNielezee mkuu niweze kuwaepuka pia!
Hao magasho ndio wa kukaa nao mbali wanatongoza na kuhonga vibaya siku hizi, kuna jamaa mmoja alihamia mtaani kipindi nipo O level,Nakuja kupata story za yule jamaa nae analelewa na punga, walikuwa wanaishi Tabata kwa sasa wamehamia Tegeta. Kuna mchina nae anahela ya kutosha,kamganda jamaa mmoja dalali yaani wapo kama mume na mke na jamaa hajali as long anapata hela.steve ake ndio kazi yake kubwa inayomuweka mjni , alafu aunt ezekieli yeye ana dili na mashoga tu, niliwahi kusikia hata diwan wa soko kubwa naye ilikuwa kazi yake ila sasa ni kama wamemkataa kwa sababu ya friji lake haligandishi.
Hello waungwana, mko salama? Poleni kwa shughuli za kila siku, na heri ya mwaka mpya.
Siku hizi mjini kuna biashara nyingi sana. Kuna wakati hadi unajiuliza, je, wanaume wameacha kutongoza au vipi? Maana wanawake wengi kwa sasa wanatafuta waume, na wako tayari hata kugharamia kuunganishwa na mwanaume.
Wanawake wengi, hasa waofisini, wanatamani kuolewa lakini hawatongozwi. Wapo tayari kutenga bajeti ili waunganishwe na mwanaume. Wengine wamefika hatua ya kufungua page zao kabisa Instagram, na hiyo ndiyo kazi yao kubwa wanafanya kukuunganisha upate mke/mume
Ninasema kwa uhakika kwa sababu nina ushahidi. Kuna jamaa aliwahi kunishirikisha kazi hii, na inalipa sana. Unaweza usiamini—unakuta dada yuko vizuri kabisa, ana kila kitu, ila changamoto ni moja tu: hatongozwi. Anakucheki, unamuunganishia mwanaume, ile namba ya simu unauziwa hata kwa laki tano, wanakutana na mambo yanaendelea.
Hapa ndipo panapochanganya: sijui hii ni fursa au ni tatizo kwenye suala la malezi na maadili. Mimi nafanya kazi maeneo ya Mikocheni, kuna jamaa amepanga apartment nzuri yenye hadhi ya juu, hana kazi nyingine—kazi yake ni hiyo tu. Na si kuunganisha watu wa kuoana pekee; anaunganisha hata wale malaya.
Yaani inafika siku mtu akiwa na upwiru, anampigia dalali na kumwambia amtafutie demu mwenye vigezo fulani—awe mwaminifu, aje hotel fulani. Dada analipa, na mwenye upwiru analipia pia; hapo ni 50/50.
Hii kazi ni risk sana. Ukimpeleka demu halafu akaenda kupiga tukio, lazima wewe uwajibike. Na demu akipata tatizo, wewe bado unawajibika. Kwa namna fulani unakuwa mdhamini wa wote wawili. Ni fursa inayolipa, lakini risk yake ni kubwa mno. Mimi mwenyewe nilijaribu kwa kama mwezi mmoja na nusu, nikagundua ni hatari sana. Kuna demu mmoja alikuwa anataka kuolewa, nikapewa mchongo nikamuunganisha na mtu, lakini kilichotokea baadaye ni cha ajabu sana—si rahisi hata kusimulia. Kuanzia hapo nikaamua kuachana nayo.
Mambo haya yanafanyika sana siku hizi.na Si wanawake au malaya tu hata wale magasho au wale wanaokula magasho nao unakuta mtu ana status nzuri mtaan hataki agundulike kam anakula magash anakupa mchongo umtafutie daah ni hatari.Ukipita maeneo kama Sinza, hali inashangaza. Sijui kama ni ugumu wa maisha, au ushirikina umezidi mjini
hahaha nacheka lakini nasikitika sana aisee Dunia iko speed sanaHao magasho ndio wa kukaa nao mbali wanatongoza na kuhonga vibaya siku hizi, kuna jamaa mmoja alihamia mtaani kipindi nipo O level,Nakuja kupata story za yule jamaa nae analelewa na punga, walikuwa wanaishi Tabata kwa sasa wamehamia Tegeta. Kuna mchina nae anahela ya kutosha,kamganda jamaa mmoja dalali yaani wapo kama mume na mke na jamaa hajali as long anapata hela.
Mimi nimeuliza tu mkuu na umetoa sababu nzuri tu ila mwisho nikama umepaniki. unajua hapa jukwaani tunajadil vitu vngi sana so saa nyingine una relax tuSasa kama unaunganisha watu, wakikubaliane waoane tatizo liko wapi?
Unajua mfumo wa maisha umebadiika sana
Sasa hivi watu rasmi (sio kila mtu) wapo bize sana, fikiria mtu anaingia ofisini asubuhi ya saa moja anatoka 18h00 na hapo akitoka amechoka, atachukua take away chap anaenda zake nyumbani anahitaji kupumzika lakini pia anafuatilia mambo yake ya ratiba ya kesho; Huo muda wa kutongoza/kutongozwa ataupata wapi?
MUHIMU : KAMA UNAWAUNGANISHA WAO WENYEWE WAKIKUBALIANA WAOANE, TATIZO LIKO WAPI?
Uongo, mbona Simanjiro hakunaChaap..nchi nzima wapo madalali ya hiyo mambo
Simanjiro si unachukua bure tu wale wamasaiNyie wazenge mlioko Dar mna raha sana, huku Simanjiro una elfu 30 ila kumnunua humuoni.
Waheshimuni sana hao wanaojiuza wazenge nyie
Hehehe kuna miwaya hili eneo halafu wabaguzi wanapeana wao kwa waoSimanjiro si unachukua bure tu wale wamasai