The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Watakuja kukwambia "Lipia tangazo"
Wengine watakuja kukwambia "Wanakuja PM"
Wengine watakuja kukwambia "Wanakuja PM"
Kwahiyo unataka kusema kazi ya mwamba ni kuunganisha wamba wazibuane vyemba??Hili ndio lengo la uzi wako. Mengine ni ya kawaida
Mkuu kwani hujaisoma ID ya mleta mada?Kwahiyo unataka kusema kazi ya mwamba ni kuunganisha wamba wazibuane vyemba??
Kweli ni DALALI MKUUMkuu kwani hujaisoma ID ya mleta mada?
Inaonekana ndivyo maana kwa kazi ya K tu haina hizo hela anazodai, K sio kitu cha ajabu ktk ulimwengu wa leoKwahiyo unataka kusema kazi ya mwamba ni kuunganisha wamba wazibuane vyemba??
kwenye uandishi kila mtu anaokota alichokipenda mkuuHili ndio lengo la uzi wako. Mengine ni ya kawaida
hahahaMiaka 40+ ni mwendo wa wasi wasi sana ikibidi hata kwa namna yoyote ile ilimradi mwenza apatikane!😂
Ni tafsiri tu za kiswahili mkuu ila hakijaharibika kituNyoosha maneno huo si udalali ni UKUWADI
hujui wanawake wanavyotoa hela ili wapate wenza. nenda instagram tafuta hizo page uone vile mambo yalivyo. au jaribu Kuingia facebook ujaribu kupost kwamba kuna mwanaume ana sifa fulan anatafuta mke uone vile wanawake watakavyokusumbua huko inbox na kukuahidi kitita kirefu kama utawaunganishiaInaonekana ndivyo maana kwa kazi ya K tu haina hizo hela anazodai, K sio kitu cha ajabu ktk ulimwengu wa leo
Hahaha kuna namnamuda wa kutongoza haupo pia unapotezaje muda kutongoza wanawake ambao akikukibalia mwisho wa yote **** haimwagi udenda
wale matapeli sanaWanigeria huo udalali walianza kitambo sana
hahaha mimi sifanyi hizo biashara ila nikiona fursa huwa najaribu nijue yaliyomo. Risk yake ni kubwa sana mkuu maana ina watu wa kila aina unaweza kuliwa wewe badala ya malayaWatakuja kukwambia "Lipia tangazo"
Wengine watakuja kukwambia "Wanakuja PM"
Hawaachi pesa ipite mbele ya macho iwe halali au haramuwale matapeli sana
mbona munapenda sana kukuza mambo mkuu.Kwahiyo unataka kusema kazi ya mwamba ni kuunganisha wamba wazibuane vyemba??
hiyo ni spirit ya wapambanaji wote dunianiHawaachi pesa ipite mbele ya macho iwe halali au haramu
Kuna mwamba kasema hapo juu sio mimi mkuu.mbona munapenda sana kukuza mambo mkuu.