Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza siku hizi umeshamiri sana mjini. Chanzo ni nini?

Hello waungwana, mko salama? Poleni kwa shughuli za kila siku, na heri ya mwaka mpya.

Siku hizi mjini kuna biashara nyingi sana. Kuna wakati hadi unajiuliza, je, wanaume wameacha kutongoza au vipi? Maana wanawake wengi kwa sasa wanatafuta waume, na wako tayari hata kugharamia kuunganishwa na mwanaume.

Wanawake wengi, hasa waofisini, wanatamani kuolewa lakini hawatongozwi. Wapo tayari kutenga bajeti ili waunganishwe na mwanaume. Wengine wamefika hatua ya kufungua page zao kabisa Instagram, na hiyo ndiyo kazi yao kubwa wanafanya kukuunganisha upate mke/mume

Ninasema kwa uhakika kwa sababu nina ushahidi. Kuna jamaa aliwahi kunishirikisha kazi hii, na inalipa sana. Unaweza usiamini—unakuta dada yuko vizuri kabisa, ana kila kitu, ila changamoto ni moja tu: hatongozwi. Anakucheki, unamuunganishia mwanaume, ile namba ya simu unauziwa hata kwa laki tano, wanakutana na mambo yanaendelea.

Hapa ndipo panapochanganya: sijui hii ni fursa au ni tatizo kwenye suala la malezi na maadili. Mimi nafanya kazi maeneo ya Mikocheni, kuna jamaa amepanga apartment nzuri yenye hadhi ya juu, hana kazi nyingine—kazi yake ni hiyo tu. Na si kuunganisha watu wa kuoana pekee; anaunganisha hata wale malaya.

Yaani inafika siku mtu akiwa na upwiru, anampigia dalali na kumwambia amtafutie demu mwenye vigezo fulani—awe mwaminifu, aje hotel fulani. Dada analipa, na mwenye upwiru analipia pia; hapo ni 50/50.

Hii kazi ni risk sana. Ukimpeleka demu halafu akaenda kupiga tukio, lazima wewe uwajibike. Na demu akipata tatizo, wewe bado unawajibika. Kwa namna fulani unakuwa mdhamini wa wote wawili. Ni fursa inayolipa, lakini risk yake ni kubwa mno. Mimi mwenyewe nilijaribu kwa kama mwezi mmoja na nusu, nikagundua ni hatari sana. Kuna demu mmoja alikuwa anataka kuolewa, nikapewa mchongo nikamuunganisha na mtu, lakini kilichotokea baadaye ni cha ajabu sana—si rahisi hata kusimulia. Kuanzia hapo nikaamua kuachana nayo.

Mambo haya yanafanyika sana siku hizi.na Si wanawake au malaya tu hata wale magasho au wale wanaokula magasho nao unakuta mtu ana status nzuri mtaan hataki agundulike kam anakula magash anakupa mchongo umtafutie daah ni hatari.Ukipita maeneo kama Sinza, hali inashangaza. Sijui kama ni ugumu wa maisha, au ushirikina umezidi mjini
Ni kweli kabisa,hata mimi nimeona wengi tu hasa makaunta wa baa hufanya sana kazi hiyo,wengine wanafanya kwa malipo ya fedha na wengine hulipwa kwa ngono
 
Kula yule mabinti wamempa jina la Steve Ake ndio kazi yake iliyompa kura, ila yeye naunganisha wanasiasa na wafanya biashara wakubwa. Ila kweli siku hizi wanawake wanahonga na hawa wenye hela na stress za ndoa wapo kibao. Ila ninacho shangaa unakuta mke anamkimbia mume wakati wa changamoto za kiuchumi, halafu anaenda kukilea kamario, sometimes unajiuliza hivi anajua anachofanya.

Ila yote tisa mapunga wanahonga vibaya na siku hizi hawana aibu nilikuwaga na simuliwa na mwanangu mmoja dereva wa bajaj,visanga anavyo kutana navyo usiku akikutana na mapunga. Ila kuna moja nilishuhudia kupitia classmate wangu, kuna punga lilikuwa linamsumbua,sema yeye akawa anakula hela zake na kumbuka tulimwambia akae nae mbali, hakusikia inaonekana nae design alikuwa anapenda. Maana kunaparty moja ilifanyika ufukweni, mida ya night jamaa alikuwa na hilo punga, walio kuwepo wanadai jamaa alipigwa blowjob, sasa sijui alikamua. Ila siku hizi amekuwa mtu wa dini sana kabadilika na kaoa,ila kala hela nyingi za hilo punga.
Hivi ni kweli kuna Bottoms wanahonga wanaume? Kabisaaa?
Yaani ni kuhonga au kuwasaidia? Em fafanua kwanii??
 
steve ake ndio kazi yake kubwa inayomuweka mjni , alafu aunt ezekieli yeye ana dili na mashoga tu, niliwahi kusikia hata diwan wa soko kubwa naye ilikuwa kazi yake ila sasa ni kama wamemkataa kwa sababu ya friji lake haligandishi.
Aunt sio, Dalali mkuu wa mashoga ni Wema, Aunt ana deal na Wasagaji, ila Uwoya hadi atokee akukubali km ni shoga bas atakuunga kwa majamaa ya Dubai au ma sponsa wenye mahela hapa mjini.
 
Hao magasho ndio wa kukaa nao mbali wanatongoza na kuhonga vibaya siku hizi, kuna jamaa mmoja alihamia mtaani kipindi nipo O level,Nakuja kupata story za yule jamaa nae analelewa na punga, walikuwa wanaishi Tabata kwa sasa wamehamia Tegeta. Kuna mchina nae anahela ya kutosha,kamganda jamaa mmoja dalali yaani wapo kama mume na mke na jamaa hajali as long anapata hela.
Mashoga wanao honga ni hawa wenye usiri kutaka wasijulikane, au laah wenye wadhifa serikalini.
Na wanafanya hivyo kwa sababu.
..........
 
N
Kwani maana ya kuhonga hujui? Nijuavyo mimi ni kitendo cha kumshawishi mtu kimapenzi/kingono kwa kutumia hela. Ndicho ninacho kijua mimi au wewe una maana nyingine ya kuhonga?
Nilitaka nijue km wanahonga au wanawasaidia,
Nweiii ahsante kwa kunijuza, 😂😂😂😂
 
Kula yule mabinti wamempa jina la Steve Ake ndio kazi yake iliyompa kura, ila yeye naunganisha wanasiasa na wafanya biashara wakubwa. Ila kweli siku hizi wanawake wanahonga na hawa wenye hela na stress za ndoa wapo kibao. Ila ninacho shangaa unakuta mke anamkimbia mume wakati wa changamoto za kiuchumi, halafu anaenda kukilea kamario, sometimes unajiuliza hivi anajua anachofanya.

Ila yote tisa mapunga wanahonga vibaya na siku hizi hawana aibu nilikuwaga na simuliwa na mwanangu mmoja dereva wa bajaj,visanga anavyo kutana navyo usiku akikutana na mapunga. Ila kuna moja nilishuhudia kupitia classmate wangu, kuna punga lilikuwa linamsumbua,sema yeye akawa anakula hela zake na kumbuka tulimwambia akae nae mbali, hakusikia inaonekana nae design alikuwa anapenda. Maana kunaparty moja ilifanyika ufukweni, mida ya night jamaa alikuwa na hilo punga, walio kuwepo wanadai jamaa alipigwa blowjob, sasa sijui alikamua. Ila siku hizi amekuwa mtu wa dini sana kabadilika na kaoa,ila kala hela nyingi za hilo punga.
Celebrities wengi haswa wanaoitwa machawa, wengi biashara inayowaingizia pesa nyingi ni ukuwadi.

ukiona celebrities wapo karibu na watoto wa kike kupita kiasi bila sababu yoyote ya msingi. Usifikirie wanawatumia tu, wanawauza
 
Hello waungwana, mko salama? Poleni kwa shughuli za kila siku, na heri ya mwaka mpya.

Siku hizi mjini kuna biashara nyingi sana. Kuna wakati hadi unajiuliza, je, wanaume wameacha kutongoza au vipi? Maana wanawake wengi kwa sasa wanatafuta waume, na wako tayari hata kugharamia kuunganishwa na mwanaume.

Wanawake wengi, hasa waofisini, wanatamani kuolewa lakini hawatongozwi. Wapo tayari kutenga bajeti ili waunganishwe na mwanaume. Wengine wamefika hatua ya kufungua page zao kabisa Instagram, na hiyo ndiyo kazi yao kubwa wanafanya kukuunganisha upate mke/mume

Ninasema kwa uhakika kwa sababu nina ushahidi. Kuna jamaa aliwahi kunishirikisha kazi hii, na inalipa sana. Unaweza usiamini—unakuta dada yuko vizuri kabisa, ana kila kitu, ila changamoto ni moja tu: hatongozwi. Anakucheki, unamuunganishia mwanaume, ile namba ya simu unauziwa hata kwa laki tano, wanakutana na mambo yanaendelea.

Hapa ndipo panapochanganya: sijui hii ni fursa au ni tatizo kwenye suala la malezi na maadili. Mimi nafanya kazi maeneo ya Mikocheni, kuna jamaa amepanga apartment nzuri yenye hadhi ya juu, hana kazi nyingine—kazi yake ni hiyo tu. Na si kuunganisha watu wa kuoana pekee; anaunganisha hata wale malaya.

Yaani inafika siku mtu akiwa na upwiru, anampigia dalali na kumwambia amtafutie demu mwenye vigezo fulani—awe mwaminifu, aje hotel fulani. Dada analipa, na mwenye upwiru analipia pia; hapo ni 50/50.

Hii kazi ni risk sana. Ukimpeleka demu halafu akaenda kupiga tukio, lazima wewe uwajibike. Na demu akipata tatizo, wewe bado unawajibika. Kwa namna fulani unakuwa mdhamini wa wote wawili. Ni fursa inayolipa, lakini risk yake ni kubwa mno. Mimi mwenyewe nilijaribu kwa kama mwezi mmoja na nusu, nikagundua ni hatari sana. Kuna demu mmoja alikuwa anataka kuolewa, nikapewa mchongo nikamuunganisha na mtu, lakini kilichotokea baadaye ni cha ajabu sana—si rahisi hata kusimulia. Kuanzia hapo nikaamua kuachana nayo.

Mambo haya yanafanyika sana siku hizi.na Si wanawake au malaya tu hata wale magasho au wale wanaokula magasho nao unakuta mtu ana status nzuri mtaan hataki agundulike kam anakula magash anakupa mchongo umtafutie daah ni hatari.Ukipita maeneo kama Sinza, hali inashangaza. Sijui kama ni ugumu wa maisha, au ushirikina umezidi mjini
Makafiri mnaamasisha sana zinaa! Na kamari na kutembea uchi.
 
Celebrities wengi haswa wanaoitwa machawa, wengi biashara inayowaingizia pesa nyingi ni ukuwadi.

ukiona celebrities wapo karibu na watoto wa kike kupita kiasi bila sababu yoyote ya msingi. Usifikirie wanawatumia tu, wanawauza
Ila ndio hivyo kuna wazee wanahela na wanajulikana kuna watoto wakali wana wataka na hawataki kwenda front na hapo Chawa ndipo hupata nafasi na wanaingiza mpunga, ila yule Steve level nyingine ndio maana anajuana na matajiri wengi.

Kuna jamaa yangu hivi kitaa anavila sana vitoto vya chuo, ananiambia kuna dalali huyo special kwa kazi hiyo, akaniambia dalali unampa kuanzia 20+k then anakunganisha na wengi madau yao yanaanzia 200k nilichoka maana 200k ni parefu.

Siku hizi bongo kuna website za escort watu wanaziendesha, demu yoyote akitaka kutangazwa anatoa fedha then wanaziweka picha zake kwa wiki,baada ya wiki wanafuta picha. Yaani kuna vitu vinaendelea mpaka unashangaa.
 
Ila ndio hivyo kuna wazee wanahela na wanajulikana kuna watoto wakali wana wataka na hawataki kwenda front na hapo Chawa ndipo hupata nafasi na wanaingiza mpunga, ila yule Steve level nyingine ndio maana anajuana na matajiri wengi.

Kuna jamaa yangu hivi kitaa anavila sana vitoto vya chuo, ananiambia kuna dalali huyo special kwa kazi hiyo, akaniambia dalali unampa kuanzia 20+k then anakunganisha na wengi madau yao yanaanzia 200k nilichoka maana 200k ni parefu.

Siku hizi bongo kuna page za escort watu wanaziendesha, demu yoyote akitakwa kutangazwa anatoa fedha then wanaziweka picha zake kwa wiki,baada ya wiki wanafuta picha. Yaani kuna vitu vinaendelea mpaka unashangaa.
Watu wanatafuta pesa kaka. Mjini ukionekana fursa lazma utumike, sasa akili kichwani, wakati unatumika na wewe watumie

Kuhusu vitoto vya chuo, huwa kuna wanafunzi wenzao ndio wanatoa connection na kama mwanachuo mzuri sana na ana wenge. Madada na makaka wa mjini wanamdaka faster, wanamuingiza mjini

Hawa video vixens, mamiss, warembo maarufu mtandaoni hususani insta na tiktok , hawa ni target nyingine kubwa zaidi
 
Back
Top Bottom