Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mimi Nina kadi ya bima, Jirani kuna dispensary cha kushangaa Dawa ya kuchuwa volin ambayo pharmacy inauzwa 2500 hapo dispensary unaambiwa hawaruhusiwi na NHIF kuwapa watu wa bima inabidi ulipe cash, sasa maana ya bima ni nini?Si unajua anaekutibu ni daktari chief nasio NHIF. Hivyo yeye ndio anatoa dawa gani itumike kukutibia na dawa gani isitimike. Nahakuna muongozo wa NHIF bali kuna muongozo wa matibabu wa taifa ambao anaouitengeneza ni wizara ya afya nasio NHIF. Pili ukifuata mwongozo wa matibabu, dawa ya kutumika ni mseto halafu kuna ngazi za dawa kadri ugonjwa unavyokuwa sugu. Huwezi kuchukua morphine kutibi maumivu ya kichwa, kwanza utajiharibu kiafya pili utaumia kiuchumi.
Kwa kifupi Mimi huwa situmii bima na kwenda tu pharmacy direct nanunuwa Dawa ninazohitaji basi imeisha hiyo, ukiona unatumia bima basi nimeenda hospitali kubwa kama Regency, Hindu mandal, Dar group and likes.
Labda tu kidogo niseme hizi bima ni msaada kwa watu wenye magonjwa makubwa.
Kwanza ukienda hospitali mtu wa cash ndio anapewa kipaumbele cha huduma.