hilo la kulala lako mm silijui, ilikuwa mission sababu ya ghadhabu, na lengo tunaonglea jE MUNGU hupata hasira? nahisi jibu umepataJibu swali. Usikwepe swali
Una amini Mungu alifanya mission ya kuteketeza mji mzima wa Sodoma Na Gomora Na kuwaokoa watu watatu ambao Ni Luthu Na bintize wawili ili mwisho WA siku Lutu alale Na binti zake?
Kumbe hulijui..........nyie mezeni tu mavitabu ya watuhilo la kulala lako mm silijui, ilikuwa mission sababu ya ghadhabu, na lengo tunaonglea jE MUNGU hupata hasira? nahisi jibu umepata
... kwamba hayo mengine yote kwa maelezo yako ni ubatili ila shukrani? Kwamba shukrani kwa Mungu ndio kitu pekee kinacho-add value kwa Mungu? Lete reference badala ya hisia. Amri 3 za mwanzo kati ya zile 10 ni hints tosha ya nini Mungu anakitarajia kutoka kwa mwanadamu.Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.
Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.
Hizo ni amri za Mussa wewe sio amri za Mungu. Amri ya Mungu ni Moja tu.... kwamba hayo mengine yote kwa maelezo yako ni ubatili ila shukrani? Kwamba shukrani kwa Mungu ndio kitu pekee kinacho-add value kwa Mungu? Lete reference badala ya hisia. Amri 3 za mwanzo kati ya zile 10 ni hints tosha ya nini Mungu anakitarajia kutoka kwa mwanadamu.
... ni ipi hiyo amri moja tu ya Mungu?Hizo ni amri za Mussa wewe sio amri za Mungu. Amri ya Mungu ni Moja tu.
utabaki kuwa mtazamo wako, kama unaamini hivyo basi huamini uhalali wa biblia na vitabu vitakatifu na kama ni hivyo huamini kuhusu MUNGU, UNARUDI KUWA MPUMBAVU,PUMBAVU WEWE, NA SI TUSI NI MUNGU KAANDIKA HIVYO KWENYE VITABU VYAKE NA MIMI NAWASILISHAHahhaha Kwa hiyo umejigeuka Tena mwenyewe sio? Kwamba story ya sodoma Na Gomora Ni ya kutunga?
Mungu hajawahi kuandika vitabu. Hata hilo neno "pumbavu wewe" hajawahi kulitumia.utabaki kuwa mtazamo wako, kama unaamini hivyo basi huamini uhalali wa biblia na vitabu vitakatifu na kama ni hivyo huamini kuhusu MUNGU, UNARUDI KUWA MPUMBAVU,PUMBAVU WEWE, NA SI TUSI NI MUNGU KAANDIKA HIVYO KWENYE VITABU VYAKE NA MIMI NAWASILISHA
yoh; 1;1 inathibitisha kuwa Mungu ni neno, na zab 53:1 mpumbavu asema moyoni mwake hakuna MUNGU, nawewe usiyeamini neno la vitabu vya Mungu ni Mpumbavu vievile,jehanamu nenda peke yako usipotoshe,MPUMBAVU weweMungu hajawahi kuandika vitabu. Hata hilo neno "pumbavu" hajawahi kulitumia.
Kwenye maandiko yenu imeandikwa "Mungu akanena na..."
Kweli ulokole ni ugonjwa mbaya sana kwa wengine...Y
yoh; 1;1 inathibitisha kuwa Mungu ni neno, na zab 53:1 mpumbavu asema moyoni mwake hakuna MUNGU, nawewe usiyeamini neno la vitabu vya Mungu ni Mpumbavu vievile,jehanamu nenda peke yako usipotoshe,MPUMBAVU wewe
Mungu alifanya mission ya kuangamiza malaki ya watu kwenye miji ya sodoma Na Gomora Na Kisha kuwaokoa watu watatu Tu ambao Ni Lutu Na binti zake ili baadae Lutu aje alale Na kuzaa Na binti zake?utabaki kuwa mtazamo wako, kama unaamini hivyo basi huamini uhalali wa biblia na vitabu vitakatifu na kama ni hivyo huamini kuhusu MUNGU, UNARUDI KUWA MPUMBAVU,PUMBAVU WEWE, NA SI TUSI NI MUNGU KAANDIKA HIVYO KWENYE VITABU VYAKE NA MIMI NAWASILISHA
Wacha kufukuru Mungu wewe. Mungu hawezi kupungukiwa Na kitu chochote.Kama.mzazi utajisikiaje ukiona watoto uliowazaa mwenyewe na kuwakuza mwenyewe hakupi heshima kama mzazi pamoha na mazuri yote unayowafanyia badala yake unaishia kuwaona wanampa jirani yako heshima unayoistahili wewe ?
Bas hvyo hvyo ndio Usipomuabudu na kumshukuru Mungu kuna vitu anapungukiwa ila kwa sababu hatumuon tunahis hakuna kitu anachopungukiwa. Ndio maana yeye mwenyewe kajifunua kwa kusema yeye ni Mungu mwenye wivu.
hawezi pungukiwa material things ila kumbuka kuna emotions.
wakupinga waje wapinge