Udhaifu wa Serikali hii tutakuja ona madhara yake baadaye. Leo ni ishara ndogo mojawapo

Hivi kweli Bi mkubwa ndio kasababisha game isogezwe mbele, mimi najiuliza tu Simba walijuaje kwamba mchezo umesogezwa mbele wakachelewa kuja uwanjani kwa muda uliopangwa mwanzo.
Ilitangazwa masaa 4 kabla ya mechi. Utopolo pia walijua kwani waliarifiwa wote, ila utopolo hawakukubali masna waliona ni upenyo wa kukwepa kichapo!
 

hujui ulisemalo.unaandika kwa mihemko na raha za pepo bandia.
hatuwezi waacha mumtie ujinga mama yetu,maana nchi itamshinda kwa ujinga na uzembe weñu maana hamtaki hata awafokee wala kuwakaripia.

sisi tuta act badala yake kuwanyoosha.
 
hujui ulisemalo.unaandika kwa mihemko na raha za pepo bandia.
hatuwezi waacha mumtie ujinga mama yetu,maana nchi itamshinda kwa ujinga na uzembe weñu maana hamtaki hata awafokee wala kuwakaripia.

sisi tuta act badala yake kuwanyoosha.
Kwa taarifa yako Mama hawezi kushindwa kwani tayari amevuka huo mtihani. Nchi iko kwenye mikono salama, raia wanatembea kwa uhuru bila woga wa kutekwa au kuuliwa, wafanyabiashara hawana wasiwasi na fedha zao Benki. Vyombo vya dola vinafuata sheria.

Unamuambia ninaandika kwa mihemuko, mihemuko gani?
 
Pamoja na hayo yote tiketi zetu na gharama tulizotumia kufata mchezo huo je zitarudiiiiiiiiiiiii
 
ndio maana nasema unaongozwa na muhemko.

lini watu walijifungia ndani wakiogopa kutekwa??
lini watu waogopa kuweka fedha benk wakiogopa zitapotea??
vyombo vya dolar vinafuata sheria ipi??
 
Hahahaha... Misukule ya Jiwe bana.
Eti afanye kazi kama Mwendazake.

Zama zenu zimekwisha kupita, hii ni awamu nyingine.
 
Yanga ni drama queens hakukua na sababu ya kususia mechi.
 
Pro Magufuli anapokuwa mpinzani wa serikali ya ccm.

Maisha yanaenda speed sana
Nikawaida Sana ndivyo maisha yalivyo huwezi lazimisha mtu kusapoti au kupinga kitu Ni uwendawazimu wakiwango Cha juu.
 
Inasikitisha Sana. Wana saccos wa Ufipa, walikuwa wanafuatilia uzinduzi wa Babu.
 
Hahahaha... Misukule ya Jiwe bana.
Eti afanye kazi kama Mwendazake.

Zama zenu zimekwisha kupita, hii ni awamu nyingine.
ndio hii ni awamu nyingine,lakini utawala huu ndio ulikuwepo awami ile.

au unaamua kujiliwaza na chupa za pombe ndani umetia maji??
 
Mama Samia atalifanyia kazi hilo muda ukifika.


Kikwete aliwahi kuitwa rais dhaifu kuliko wote, ngoja tuone kama mama Samia atavunja rekodi ya udhaifu wa kikwete.
 
daaahhh Simba wameonesha unafiki... walipaswa kufika saa ile ile iliyopangwa
Leo simba wamekuwa kama binti aliyekula pesa za dereva bodaboda hivyo muda wowote atakaoombwa game lazima atoe. Yaani hana uwezo wa kumchomolea mwana.

Hao ndio masimba
 
Tunasubiri kamanda aliyemaliza ujambazi Dar arejeshwe....pathetic...
 
Kitengo kimefeli tena Leo. Shughuli ya uzinduzi wa kitabu ilipangwa muda na wote walijua Leo kuna game inayowaunganisha watanzania pamoja na tofauti zao. Kwa nini Wizara hawakuwasiliana na TFF mapema ili kusogeza muda wa mchezo huo?Ikumbukwe hata wadau wengi wa mpira walipendekezwa mechi ichezwe saa moja usiku, TFF wakachomoa. Kwa kweli katika hili, TFF na wizara wametukosea Sana. Wanatakiwa wawajibike kwa aibu hii waliyolitia Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…