Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

Wanafalsafa wanadai hata dunia ni ya kike sasa hapo unategemea nini?
 
Jamii yetu kuna mambo haielewi na ukiyasema hadharani, unaonekana wa ajabu.

SIO KOSA KISHERIA MTU KUTEMBEA NA MUME AU MKE WA MTU.
Labda hauna ufahamu na hili ila Nadhani lilishawahi kujibiwa na mkuu 666 chata muda kidogo ngoja ninukuu jibu lake .

"
Ndio ni kosa kisheria, hii uitwa ugoni, na hasa wewe mwizi ukikamatwa live, adhabu yake yaweza kua fine au kifungo vile vile, kwa mujibu wa sheria ya ndoa... lakini sheria imetilia mkazo sanaa kwenye kumuoa au kuishi na mke wa mtu ambae uenda ametengana tu na mmewe bila talaka au wamekorofishana tu, ambapo Kifungu cha 152 ( 1) cha sheria ya ndoa kinakifanya kitendo cha kufunga ndoa na mwanamke ambaye bado ndoa yake haivunjwa kisheria kuwa ni kosa.

Kifungu kidogo ( 1 ) na ( 2 ) kinasema kuwa mme aliyemuoa mke huyo na mke mwenyewe aliyeolewa wote kwa pamoja wanahesabika kutenda kosa hili. Na kifungu kidogo cha ( 3 ) kinasema kuwa hao wote wawili wakithibitika kutenda kosa hilo basi adhabu yao ni kifungo kisichozidi miaka 3 jela"

Mwisho wa kunukuu.
 
Dawa ni wanawake wasiwe wapiga kura ni upumbavu kuruhusu wanawake kuchagua viongozi wa taifa ..pia tutenge kazi ambazo wanawake wanaweza au wanatakiwa kuwa wengi zaidi mfano ualimu wa shule za msingi wanawake wanaweza kuwa asilimia 70% shule za sec wanawake wanaweza kuwa asilimia 50%.
 
Sio kosa? Nani amekwambia? Na wewe ni miongoni mwa wanasheria NGULI au WASOMI?

Kama na wewe ni Mwanachama wa TLS basi siwezi shangaa TLS kuwa ilivyo sasa na kabla ya sasa
Ni vyema ukampinga kwa facts badala ya kuulizia aliyemwambia. Pengine ungeweza kuweka vifungu vya sheria vinavyoonyesha kuwa ni kosa
 
Sisi wanaume tumeumbwa kutawala na kuwacolonize wanawake na viumbe vyote viijazavyo dunia ndiyo maana mfumo jike wa kishetani umeundwa ili kumuangamiza mwanaume duniani na madhara yake ni makubwa sana na yameshaanza kuonekana waziwazi.

Nb. Wanaume msimamo wetu ni ule ule hatutaki kutetewa na ikiwa wanawake watataka kutupanda kichwani ni kuwapiga mimba , kuwachezea na kuwatelekeza alafu baadae tunadai watoto wakisha kua. Ole wetu kama tutachukua cheti cha ndoa
 
Kuna unyanyasaji mwingine wa kukosea uwekezaji,hiyo ni hatari kuliko hata kubakwa
 
Unaongea ty, ukishawahi kwenda kwenye legal aid clinic ya LHRC , Unajua LHRC wana legal aid provider wangapi nchi nzima. Watu wanapewa misaada ya kisheria kila siku. Wanasimamia hata kesi za wanaume.
 
Watu wana mihemuko balaa. Na huyo jamaa nasikia alikuja kumuoa mchepuko.
 
Maneno mengi kisa Mwabukusi ni Rais wa TLS. Huyo jamaa katetewa Sana mpaka kesi iligunguliwa. Sijui ulikuwa wapi wewe mlalamishi.
 
Wanaume KAZI mnayo Yani hamthaminiwi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…