Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
- Thread starter
-
- #61
Na hivi ndivyo inapaswa kuwa. Lakini, tatizo ni kwamba anapodhalilishwa Mwanaume husikii kelele kama ambavyo akidhalilishwa Mwanamke.Wakibainika sheria itachukua mkondo wake. Huyu hapa alifungwa kwa kumdhalilisha mwanaume
Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu kifungo cha maisha jela, Erick Kasila (39) baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka matatu likiwamo la kumlawiti mwanamume kwa madai kuwa alimfumania gesti na akiwa na mke wake. Kasila anadaiwa kumlawiti Idd Kambi katika nyumba ya kulala Wageni ya...www.jamiiforums.com
women haha!Yeah,ndo maana mnaonekana mnajiweza kujitatulia matatizo yenu
Ndio.Una uhakika siyo kosa kisheria?
Siyo kosa kama wanekubaliana.Sio kosa? Nani amekwambia? Na wewe ni miongoni mwa wanasheria NGULI au WASOMI?
Kama na wewe ni Mwanachama wa TLS basi siwezi shangaa TLS kuwa ilivyo sasa na kabla ya sasa
Ndugu, mimi siyo mwanasheria.Sio kosa? Nani amekwambia? Na wewe ni miongoni mwa wanasheria NGULI au WASOMI?
Kama na wewe ni Mwanachama wa TLS basi siwezi shangaa TLS kuwa ilivyo sasa na kabla ya sasa
Hujui sheria kama umesomea hiyo fani kadai ada yako.Ndio.
Hivi kuna mtu mzima anaibwa? Kazi kweli. Alitekwa kwani si alikubali mwenyeweHuyo baba aliyeiba mke wa mtu acha adhalilishwe. Inaumiza sana unaposikia ama kuona mkeo anatombw na mshz
Sio jinai, ukimfumania mtu unaenda kufungua kesi ya madai. Mgoni anaweza kulipishwa hata elfu 25 tu. Kwa niki usulbuane na mtu huko makakamani. Muache aende tu.Ndugu, mimi siyo mwanasheria.
Ila ninafahamu kuwa, Tanzania bara, ugoni siyo jinai.
Sasa kama nyie wenyewe mnashindwa kupigania na kudai haki zenu unadhani nani atawakumbuka?Tatizo raia wengi wakisikia ukatili au unyanyasaji basi waathirika ni wanawake tu Kumbe hata wanaume ni wahanga ila makundi yote yamezidiana kwa idadi tu
Wenzao wako busy kutafuta hela wao wanahangaika na sketi au suruali.Kutwa kucha mko bize na wanawake unadhani mtakumbukwa na nani km nyie wenyewe mmejisahau,
Wana hekaheka mara wajifananishe na wanawake, mara watusengenye, wanazidi kujipoteza wao wenyeweWenzao wako busy kutafuta hela wao wanahangaika na sketi au suruali.
Kwani pesa ukizipata unatumia kwenye nini zaidi ya kul na ktmbeaWenzao wako busy kutafuta hela wao wanahangaika na sketi au suruali.
Tatizo unadhani starehe ni hiyo tu. Kazi kweli.Kwani pesa ukizipata unatumia kwenye nini zaidi ya kul na ktmbea
Tukipigania mnatubeza na kutupuuzaSasa kama nyie wenyewe mnashindwa kupigania na kudai haki zenu unadhani nani atawakumbuka?
Hata wanawake walivyoanza kupigania haki zao walikuwa wanabezwa..na hadi sasa bado wanabezwa na baadhi ya watu. Mwanzo mgumu msikate tamaa๐๐๐Tukipigania mnatubeza na kutupuuza
Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.
Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa madai ya kutembea na Mke wa mtu.
Inasikitisha sana, maana jamaa anaonekana uso umevimba, anavuja damu, yuko uchi wa mnyama na analazimishwa kucheza taarabu huku akikata mauno. Jamaa anaomba maji, lakini ananyimwa huku akitukanwa matusi ya nguoni.
Soma Pia:
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
- Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama
Najiuliza swali, Je, ni sahihi Mwanaume kudhalilishwa lakini siyo sahihi mwanamke kudhalilishwa?
Kwanini tunakuwa na double standards ?
Kama tunataka haki, basi haki hiyo iwanufaishe wote pasipo kupendelea jinsia moja.
Rudishwa shuleBaada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.