Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

Udhalilishaji sio ishu sana kwa wanaume bali ni moja ya matokeo tuu ya mfumo jike.

Kumdidimiza mwanaume kiuchumi, kimawazo na kiutawala kwa kigezo cha haki sawa.. Inamkatili sana mwanaume na ni kwenda kinyume nature ya maisha ya viumbe hai
 
Kwenye maisha yangu sitosubiri haki itendeke nimezaliwa mwanaume ni either uniue au nikukalishe ila kunidhalilisha then nibaki hai sitoruhusu
 
Tatizo raia wengi wakisikia ukatili au unyanyasaji basi waathirika ni wanawake tu Kumbe hata wanaume ni wahanga ila makundi yote yamezidiana kwa idadi tu
Ukatili na udhalilishaji dhidi ya wanawake hufanywa na wanaume na ukatili dhidi ya wanaume hufanywa na wanaume, (kuna chochote umeelewa?),
Jinsi ME ni tatizo sana katika ulimwengu huu uliostaarabika, mdogo mdogo mtaelewa.
 
Mifumo ya Dunia imemtenga mwanaume, haya ndo matokeo ya 50/50. Miaka ijayo litakuja vuguvugu la kutetea haki za wanaume maana hali itakuwa mbaya zaidi na tutakuwa tumechelewa. Shetani kazini, kafanikiwa kupindua mfumo halisi wa maisha.
Usimsingizie shetani huo ni mpango halisi wa Mungu, madhara yamekua mengi sana duniani tangu mwanaume alivyopewa mamlaka , na sasa ni muda wa kukaa pembeni ili dunia ibaki salama
 
Sambaza hiyo video ili iwafikie watetea haki, inawezekana hawajaiona tu
Sambaza hiyo video ili iwafikie polisi na watetea haki, inawezekana hawajaiona tu
 
Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika.
 
MKE WA MTU SUMU
wanawake wote hawa unaendaje kwa mke wa mtu?mambo mengine ni kujitakia.
Mwanamke kwenda kwa mume wa mtu ni sawaa.maaana wanawake ni wengi wanaume wachache. Inabidi wakubali kushare.
 
Ukatili na udhalilishaji dhidi ya wanawake hufanywa na wanaume na ukatili dhidi ya wanaume hufanywa na wanaume, (kuna chochote umeelewa?),
Jinsi ME ni tatizo sana katika ulimwengu huu uliostaarabika, mdogo mdogo mtaelewa.
Unazungumziaje Unyanyasaji kwa Dada wa kazi (house girls) kutoka kwa Mabosi wao (Mama wenye nyumba)?

Wale "waliotumwa na Afande" huyo afande ni Jinsia gani?

Tambua kwamba Udhalilishaji na Ukatili hauna Jinsia.
 
Usimsingizie shetani huo ni mpango halisi wa Mungu, madhara yamekua mengi sana duniani tangu mwanaume alivyopewa mamlaka , na sasa ni muda wa kukaa pembeni ili dunia ibaki salama
Umezungumza Uongo Mtupu.

Licha ya Mwanaume kuwa Mtawala Kwa kipindi chote Matatizo mengi yalikuwa yanatokea na Yalikuwa yanasababishwa na Mwanamke kwa namna moja au nyengine.

(Huenda yalikuwa machache Matatizo hayo sababu mwanaume alikuwa kiongozi yaani aliweza kuyadhibiti baadhi)

Kama wewe ni Muumini wa Dini utajua mwanzo wa dhambi ni upi? Ni mwanamke kumshawishi Mwanaume kula Tunda.

Fatilia Historia za baadhi ya Mataifa na Falme za Nyuma Utaona katika Matatizo yaliyowakumba hadi kupelekea kudondoka kwa Dola zao ni Kwa Sababu ya Mwanamke (direct or indirect).

Sasa Unaweza ukabashiri (predict) hali itakuwaje kama Mwanamke muanzisha Matatizo akiwa yeye ndie kiongozi na mwenye Nguvu. THIS EARTH IS GOING TO BE A HELL.
 
Umeelewekaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…