MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,076
- 3,564
Upepo wa sasa ni KE usijichanganye kabisa utakachofanya ni kuondoka zako km yamekushinda or achana nae km ni mahusiano km ni makazini tafuta kijiwe kipya tu otherwise uwe chawa wake hapo utapewa cheo chochote kikubwaBaada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.
Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa madai ya kutembea na Mke wa mtu.
Inasikitisha sana, maana jamaa anaonekana uso umevimba, anavuja damu, yuko uchi wa mnyama na analazimishwa kucheza taarabu huku akikata mauno. Jamaa anaomba maji, lakini ananyimwa huku akitukanwa matusi ya nguoni.
Soma Pia:
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
- Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama
Najiuliza swali, Je, ni sahihi Mwanaume kudhalilishwa lakini siyo sahihi mwanamke kudhalilishwa?
Kwanini tunakuwa na double standards ?
Kama tunataka haki, basi haki hiyo iwanufaishe wote pasipo kupendelea jinsia moja.
Hakuna kosa linalo tambulika kisheria kuwa kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu nikosa kisheria ikiwa tuu wamekubaliana kwa hiyari yao wenyewe wote kwa pamoja na ndio maana jambo hilo halina adhabu inayo tambulika kisheria , bali hayo mambo hubebwa kijamii zaidiSio kosa? Nani amekwambia? Na wewe ni miongoni mwa wanasheria NGULI au WASOMI?
Kama na wewe ni Mwanachama wa TLS basi siwezi shangaa TLS kuwa ilivyo sasa na kabla ya sasa
Ndio maana kesi zake hugeuzwa ubakaji/unyanyassji kijinsia kwakua sheria ya kutembea na either haipoHakuna kosa linalo tambulika kisheria kuwa kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu nikosa kisheria na ndio maana jambo hilo halina adhabu inayo tambulika kisheria , bali hayo mambo hubebwa kijamii zaidi
Na zaidi ya hapo ikiwa wote wawili wakakiri kupendana basi hapo ndipo madai ya talaka huanza ,Ndio maana kesi zake hugeuzwa ubakaji/unyanyassji kijinsia kwakua sheria ya kutembea na either haipo
Hizi stage ziombee uzisikie kwa jirani tuNa zaidi ya hapo ikiwa wote wawili wakakiri kupendana basi hapo ndipo madai ya talaka huanza ,
Na zaidi ya hapo ikiwa wote wawili wakakiri kupendana basi hapo ndipo madai ya talaka huanza ,Ndio maana kesi zake hugeuzwa ubakaji/unyanyassji kijinsia kwakua sheria ya kutembea na either haipo
Bado hajafanikiwaMifumo ya Dunia imemtenga mwanaume, haya ndo matokeo ya 50/50. Miaka ijayo litakuja vuguvugu la kutetea haki za wanaume maana hali itakuwa mbaya zaidi na tutakuwa tumechelewa. Shetani kazini, kafanikiwa kupindua mfumo halisi wa maisha.
Hapana, hili ni kosa kisheria. Kujichukulia sheria mkononi sio sahihi.Akuna wewe wanaume tunastahili hichi kikombe baadhi yetu wameshakuwa wajinga, mashoga na wenye chuki wao wanadhamini nyeg* tu
Sisi Wanaume tumeruhusu mfumo "jike" kutawala dunia.Udhalilishaji sio ishu sana kwa wanaume bali ni moja ya matokeo tuu ya mfumo jike.
Kumdidimiza mwanaume kiuchumi, kimawazo na kiutawala kwa kigezo cha haki sawa.. Inamkatili sana mwanaume na ni kwenda kinyume nature ya maisha ya viumbe hai
Kusambaza video ya udhalilishaji ni sehemu ya kushiriki udhalilishaji. Sitaki kuamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hawajaiona hiyo video.Sambaza hiyo video ili iwafikie watetea haki, inawezekana hawajaiona tu
Sambaza hiyo video ili iwafikie polisi na watetea haki, inawezekana hawajaiona tu
Mbona unakubali kushindwa kinyonge namna hiyo?Upepo wa sasa ni KE usijichanganye kabisa utakachofanya ni kuondoka zako km yamekushinda or achana nae km ni mahusiano km ni makazini tafuta kijiwe kipya tu otherwise uwe chawa wake hapo utapewa cheo chochote kikubwa
Kosa ni la jamaa aliyezini na mkeo au kosa ni la mkeo kumvulia chupi jamaa??Huyo baba aliyeiba mke wa mtu acha adhalilishwe. Inaumiza sana unaposikia ama kuona mkeo anatombw na mshz
Sijasema nimeshindwa ila nimemuelezea mleta mada, timiza wajibu wako na sio kushindana nao kwakua mzani umeegemea kwao so u won’t win ila ww fanya yaliondani ya uwezo wakoMbona unakubali kushindwa kinyonge namna hiyo?
Mimi nafikiri sisi Wanaume bado tunayo nafasi ya kurudisha heshima yetu hata kama dunia imeegama upande wa jinsia ya kike.
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ni kosa kisheria kutembea na mke au mume wa mtuJamii yetu kuna mambo haielewi na ukiyasema hadharani, unaonekana wa ajabu.
SIO KOSA KISHERIA MTU KUTEMBEA NA MUME AU MKE WA MTU.
So baada ya kuanza kuwapa hiyo nguvu Dunia imekuwa salama au ndo imekuwa hatari zaidi? Mwanamkd hajaumbwa kuongoza, mifano tunayo...msitake tuandike mengi tutafutwe.Usimsingizie shetani huo ni mpango halisi wa Mungu, madhara yamekua mengi sana duniani tangu mwanaume alivyopewa mamlaka , na sasa ni muda wa kukaa pembeni ili dunia ibaki salama
Ni kosa la madai. Anayedaiwa ni mgoni. Unaenda kufungua kesi ya madai makakamani. Faini yake unaweza ikwa hata 25k. Ni kupoteza muda kwenda kudai mgoni mahakamaniHakuna kosa linalo tambulika kisheria kuwa kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu nikosa kisheria ikiwa tuu wamekubaliana kwa hiyari yao wenyewe wote kwa pamoja na ndio maana jambo hilo halina adhabu inayo tambulika kisheria , bali hayo mambo hubebwa kijamii zaidi
Shukrani 🙏🏽Umeelewekaaaa!!!
Kuna starehe kubwa kuliko ktmb......vitu vingine tuambizane ukweli tuTatizo unadhani starehe ni hiyo tu. Kazi kweli.
Inategemea na umri.Dunia kwa Sasa haimtambui mwanaume likikukuta pambana nalo hadi kifo
Wewe sema ndio starehe yako kubwa, usiwasemee wengine.Kuna starehe kubwa kuliko ktmb......vitu vingine tuambizane ukweli tu