Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Mie sioni kama wazungu walikiwa na afadhali au warabu walikuwa afadhali. Trans-atlantic slave trade haikufanywa na waarabu, kuyajazawaafrika Yale mabara toka amerika kaskazini, kati hadi kusini, wareno, waspanish, wafaransa, waingereza n.k waligombaniana biashara hii ( je ni kusema wakristo walaumiwe ? ) na hii ilofanyika huku kwetu, walitolewa bara huko kijijini hadi mrima(ufukweni). (Je waislam walaumiwe ? ) Sifikirii kama unaweza kuilaumu dini kwa watu wachache wanoitafsiri wao kama wanavyotaka.

( KKK- ni grupu la kikristo lenye siasa kali, miaka ya 40-60 walifanya mauwaji mengi ya watu weusi , siku hizi hawana nguvu sana, ulaya kuna hawa wanoitwa " WANAZI MAMBO LEO " ni ULTRA ambao ni wabaguzi dhidi ya wahamiaji, kama yule muuwaji wa wanafunzi -Norway. Wanasema ana matatizo ya akili. Je wakristo wote wana matatizo ya akili ? ) mashariki ya kati kuna Isis wanaojigamba kwa uislam, wanawauwa waislam, wakristo n.k Je waislam ni wauwaji ? )

Naona tumeuvaa udini sana ndugu zangu, kismema huyu ni mbaya au yule ni mbaya. Je kuna dini inayoweza kusema watu wake hawakufanya mabaya kwa jina la dini hio ? Tuache mihemko ya kidini ndugu zangu.
 

Mtawala ndo anaeandika historia, historia huandikwa mezani not on the ground
 
Masikini huyu Muafrica kachoka kufanyiwa ukatili na wazungu, huyo mwingine wanakwenda kumyonga.
 

Attachments

  • images-30.jpeg
    9.9 KB · Views: 85
  • images-27.jpeg
    9.3 KB · Views: 91
  • images-15.jpeg
    11.7 KB · Views: 100
Waarabu si watu wema hata kidogo dini yao yenyewe inajenga ubaguzi mkubwa, pia inaruhusu kujiua kuua na kulipa visasi na ndio maana asilimia kubwa ya magaidi ni waislamu
Ni vema utuambie mwema ni nani? Hitler au George Bush na waamerika wenzie wanaouwa mpaka watoto wadogo huko bara Arabu? Dini yako dini gani? Nadhani nawe ni miongoni mwa wale mnaotembelewa na mwarabu
 
Mbona mashujaa wetu kama Mirambo ndio walikuwa wanakama watumwa na kuwauza ? Hakuna uthbitisho wowote kuwa waarabu walivamia mahali na kuchukua watumwa - wote walikuwa wakiletewa na Waafrika wenzao. Na hii biashara au utumwa ulikuwepo baina ya waafrika wenyewe
 
Watumwa wengi pia walipelekwa Bara arab, Tofauti na Amerika ambapo kuna masalia wengi, waafrika Uarabuni ni nadra kuwaona hao masalia. tungejiuliza kilichotokea.

Ni ukweli usiopingika kuhusu tamaduni za walimwengu. Bara asia hawapendi kabisa mchanganyiko wa damu kutoka afrika. Ulaya hawaoni tatizo.

Ni kweli kuwa ukatili unasababishwa pia na tamaduni za jamii husika. Afrika ina sifa ya kukirimu wageni ni asili yao. sijui kama waafrika wangepokelewa uarabuni au asia kama tulivowapokea sisi kipindi hicho.
Pasco una point katika hoja yako.
 
Mkuu fungia uzi mpya ushushe Nondo kabisa
hakuna haja mkuu, Zitafutwa tu. Niliwahi kuweka story ya Galileo Galilei na Kesi yake hiyo thread hadi sikuiona wakati ilisakafiwa na reliable sources. Nahisi kwa sababu iligusa udhaifu wa kiongozi mashuhuri wa kidini anayeaminiwa sana.

Hiyo homework inatosha kabisa kwa muislamu anayependa kuelewa mambo.
 

Utumwa,kunyanyasana na matendo mengine yanayofanana na haya,hayana dini ,rangi wala itikadi,kwani hadi leo hii baadhi ya watu weusi wananyanyaswa tena na weusi wenzao,hapo mzungu au mwarabu au muislamu au mkristo anaingilia wapi?hii inatokana na kutokuwa na hofu ya Mungu na si vinginevyo.
 
Pasco mpaka sasa unebwabwaja na kuhororoja lakini hujaonesha damu aliyomwaga hata mfalme mmoja.

Umeweka link ambayo ni tofauti kabisa na porojo zako nyingi ulizoandika Kiswahili. Umeshindwa ku cite hata moja katika uliyoyaandika. Unapotosha au unajipotosha kwa kujaribu kuaminisha watu uongo?

Hakika shule mlisomea ujinga.

Hivi wale Wareno waliojenga ile ngome Unguja walikuwa na biashara ipi pale?

Hizo za watu kuzikwa kila nguzo ya jumba la maajabu ni ngano za kijinga tu.
 
"UKWELI UKIDHIHIRI UONGO HUJITENGA"

Mtoa mada yake baada ya kupewa iliyokweli katoka UNYOYA (KAKIMBIA) kajitutumua na kujibu comment moja tu ya ndugu Muhammed Said.

Hili darasa linalotolewa hapa ni fundisho kwake na wengine wanaodhani bado tuko katika zama za MTU MMOJA KUOTA NA KUJUA KILA KITU!!!!

Alhamdulillah Mwinyi alituondoa huko kwa nguvu zake zote kwa slogan yake ya RUKSA.
 
Mh! Kiukweli tumetoka mbali
Wale watumwa waliopelekwa Uarabuni vizazi vyao viko wapi!!! kwani wale waliopelekwa India mpaka leo wapo na wale waliopelekwa Ulaya, Marekani mpaka Amerika Kusini mpaka leo wapo tena kwa mamilioni and for your information nchi yenye watu wengi weusi(black) kuliko nchi ingine yeyote duniani ni BRAZIL na siyo Congo wala Sudan wala Tanzania. Ni kweli wapo kule ni kwa sababu hawakuhasiwa kama waliopelekwa Mashariki ya Kati. Who is to blame and have they apologized and compensated!
 
hueleweki,,, kitabu hukiamini ila kimeandika yesu mara 25,unaogopa kukisoma!!!, sasa kama unaamini kimeandika yesu mara25, hakuna mjadala hapa!! unajua ni cha kweli kitabu, kitu cha uongo hakijadiliwi
Mbona unatoa majibu mepesi kwenye maswali mazito!; ebu jipange uweze kutofautisha fake na org
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…