mtu kitu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 702
- 508
Mie sioni kama wazungu walikiwa na afadhali au warabu walikuwa afadhali. Trans-atlantic slave trade haikufanywa na waarabu, kuyajazawaafrika Yale mabara toka amerika kaskazini, kati hadi kusini, wareno, waspanish, wafaransa, waingereza n.k waligombaniana biashara hii ( je ni kusema wakristo walaumiwe ? ) na hii ilofanyika huku kwetu, walitolewa bara huko kijijini hadi mrima(ufukweni). (Je waislam walaumiwe ? ) Sifikirii kama unaweza kuilaumu dini kwa watu wachache wanoitafsiri wao kama wanavyotaka.
( KKK- ni grupu la kikristo lenye siasa kali, miaka ya 40-60 walifanya mauwaji mengi ya watu weusi , siku hizi hawana nguvu sana, ulaya kuna hawa wanoitwa " WANAZI MAMBO LEO " ni ULTRA ambao ni wabaguzi dhidi ya wahamiaji, kama yule muuwaji wa wanafunzi -Norway. Wanasema ana matatizo ya akili. Je wakristo wote wana matatizo ya akili ? ) mashariki ya kati kuna Isis wanaojigamba kwa uislam, wanawauwa waislam, wakristo n.k Je waislam ni wauwaji ? )
Naona tumeuvaa udini sana ndugu zangu, kismema huyu ni mbaya au yule ni mbaya. Je kuna dini inayoweza kusema watu wake hawakufanya mabaya kwa jina la dini hio ? Tuache mihemko ya kidini ndugu zangu.