Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

Status
Not open for further replies.
Ilianza taratibu kwa kuwaambia wanafunzi wa kiislamu wa kike kuvaa hijab. Ikawa inashangaza kuwa walio wengi wao huvaa hijab shuleni tu, na nymbani huvaa kama watoto wengine. Hii ni mbegu mbaya sana ya udini. Si nzuri kwa mwalimu kuingia darasani na kwa macho tu kupambanua nani mkristu na nani mwislamu. Ni mbaya sana pia kwa wanafunzi wenyewe kubaguana kirahisi kiasi hicho. Licha tu ya kuondoa dhana nzima ya uniform, lakini watoto wa kitanzania sasa wanaitana "sisi waislamu na ninyi wakristu." lililotukia bagamoyo ni moja tu ya matukio mengi yatayokuwa ya kawaida kwa kuwa ni mavuno ya mbegu iliyopandwa na serikali kwa muda mrefu. Meli iliyobeba tanzania inaelekea uelekeo wa kugonga mwamba mkubwa wa udini na kusambaratika!
 

Hapo kwenye RED; niliwai kusikia mtu mmoja miaka ya nyuma akisema pale UDSM eti waislam walikuwa wakiimzwa kufanya discussion wenyewe kwa wenyewe. Sikuitilia maana kauli hii kipindi hicho lakini sasa uenda ni muda muafaka wa kuanza kulifanyia kazi.

Tujiulize tumefikaje hapa mpaka watoto wa sekondari waanze kufanya kampeni za kidini? Kama hatutabadilika sasa na tukaacha hii chuki ya kidini ikaendelea kujengeka kwa vijana wetu basi muda si mrefu taifa ili litaangamia na vurugu za kidini.

Hata ukiangalia post nyingi kwenye huu uzi utaona tofauti za kidini zilivyotawala na utetezi wa pande nyingi unasukumwa na imani ya mtoa post. TAFAKARI

 

Kakojoe ulale toa hoja mfu hapa.
 
Waislamu bwana. tatizo ni kwamba wakati tunawabeza utayari wao kuua mtu ni guaranteed kama jua kuchomoza asubuhi,I wish UN watoe resolution juu ya islamu
 
wengine tuliyaona haya kitambo lakini akina mshikachuma and co wakatu label wadini! inaelekea wanafunzi wa dini ya kiislamu ni wachache shuleni hapo maana kwa jinsi ninavyowajua kama wangekuwa ni wengi basi wasingesusa kupiga kura...dah eti watu wanataka waalimu wa kiislamu tu kwenye shule ya serikali...wachague basi kutibiwa na madaktari waislamu tu wanapokwenda kwenye hospitali za serikali...
 
Wanadekezwa hawa, wako wapi wale walim wetu jamani?
Wangechukua mboko hawa na wasingerudia tena vurugu za kijinga kama hizi!
 
Nashauri mgogoro huu ushughulikiwe kwa hekima ya hali ya juu na mwalimu mkuu arudishwe shuleni mara moja pamoja na wanafunzi wa Kikristo warejeshwe shuleni.
Kama hayo hayatafanyika bac wanafunzi wote wa kiislam waliopo shule za kikristo mpaka vyuo waondolewe mara moja.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wakati nasoma korogwe girls ilizuka the same thing kti ya wakristo na waislam tena wanawake ilifika mahali ikawa balaa kabisa wakristo walikuwa watulivu sana ,wakaanza kujipigia kampeni kwenye vipindi vya dini hawa watu kuna dada mmja alikuwa anaitwa subira mapunda she was mdini kweli kweli,ila mkuu wa shule aliwafyeka na kilichokuwa kinawaumiza sana katika vidato vyooote kuanzia Olevel mpaka a leve hamnaga muislam alikuwa anaiona hata top tena so ilikuwa ni dharau sana kwao
 

Thanks mkuu
 
kura za hapana haziwez kuwa nyng mkuu,mashulen hakna maislam kabisa,labda km ungesema mwenyekiti wa mtaa wa manzese!
Kama mashuleni Hakuna Maislamu Hayo Makristo yalikimbia nini huko shuleni ?
 
Kama kweli kamanda wa Polisi amejibu hivyo basi ni bahati mbaya sana. Kwa nini mwalimu mkuu asitakiwe? je, inawezekana sasa Wakristo wakasoma kwenye shule zao wakiwa na walimu wao Wakristo na Waislamu wakasoma kwenye shule zao wakiwa na walimu wote Waislamu ili kuleta amani? Kama wanafunzi wa Kiislamu hawawataki walimu Wakristo wasilazimishwe kufundishwa nao. Kwanza mtu usiyempenda akikufundisha huelewi somo. Tuepushe vita. Kama kukaa pamoja inashinidika basi tusipigane na kuuana. Tutengane kwa amani.
 
Swali la msingi ni je,'' Ni kweli vurugu zimetokea hapo shuleni? Kama ni ndio je, zimesababishwa na uchochezi wa kidini? Je ni kweli wanafunzi hawamtaki mkuu wa shule kwa sababu ni mkristo? Je ni kweli wanafunzi hawawataki walimu kwa sababu sio waislamu? Kama majibu yote ni ndio basi mhariri hana kosa na hajawapaka matope waislam na haimaanishi kuwa waislam wote ni wabaya kwasababu hicho ni kikundi kidogo tu cha watu ambacho hakina representation ya waislam wote nchini.
Lets face the facts tuondoe chembechembe za hii mbegu inayotaka kupandwa sasa sooner than later.

 
Dawa ni kuwatengea shule zao wakae peke yao,wafundishwe na walimu wa kwao,tuone kama chokochoko zitaisha.NDANDA Sekondari ilikuwa hivyohivyo kitu kidogo kinakuzwa utadhani ndicho walicho fuata.je, viongozi wa shule wangekuwa wanalipwa posho si ingekuwa balaa!! halafu fuatilia uone huyu anae utaka ukiranja mkuu amekwenda na sifa gani,utakuta kaenda na;DDC badala ya kukaza buti atoke na daraja zuri anautaka ukiranja kwa udi na uvumba.
 

nimeipenda sana hii hasa hapo kwenye red.........maana huko kwenye hizo nchi hata wao wenyewe hapa bongo huwa hawaendi utawakuta wamejazana ubalozi wa marekani na uingereza tu.....nendeni huko ss.mnataka kuifanya tanzania sawa na hizo nchi za kiislam sio????
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…