Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

Status
Not open for further replies.
Ilianza taratibu kwa kuwaambia wanafunzi wa kiislamu wa kike kuvaa hijab. Ikawa inashangaza kuwa walio wengi wao huvaa hijab shuleni tu, na nymbani huvaa kama watoto wengine. Hii ni mbegu mbaya sana ya udini. Si nzuri kwa mwalimu kuingia darasani na kwa macho tu kupambanua nani mkristu na nani mwislamu. Ni mbaya sana pia kwa wanafunzi wenyewe kubaguana kirahisi kiasi hicho. Licha tu ya kuondoa dhana nzima ya uniform, lakini watoto wa kitanzania sasa wanaitana "sisi waislamu na ninyi wakristu." lililotukia bagamoyo ni moja tu ya matukio mengi yatayokuwa ya kawaida kwa kuwa ni mavuno ya mbegu iliyopandwa na serikali kwa muda mrefu. Meli iliyobeba tanzania inaelekea uelekeo wa kugonga mwamba mkubwa wa udini na kusambaratika!
 
mmmmhhh umesoma habri vizuri...??????hujaona kuwa kuna vitisho
na kwa kawaida waislamu huwa hawafikiri mara mbili wakisema watafanay huwa wanafanya
ni uamuzi mzuri ngoja wapewe walimu wao waislamu tupu,mkuu wa shule muislamu na wasome waislamu tupu
hili tatizo la misikiti mashuleni na watu kujitenga liko kila mahali..........shule nyingi sana wanafunzi wa kiislamu wanafanyia discussion zao msikitini...........HATA PALE UDSM WAPO WANAOFANYIA DISCUSSION PALE MSIKITINI NA KUNA UBAO KABISA WANAJITENGA NA KUFANYA DISCUSSION PEKE YAO.

nb:ukitaka source nenda hata leo pale msikitin udsm

Hapo kwenye RED; niliwai kusikia mtu mmoja miaka ya nyuma akisema pale UDSM eti waislam walikuwa wakiimzwa kufanya discussion wenyewe kwa wenyewe. Sikuitilia maana kauli hii kipindi hicho lakini sasa uenda ni muda muafaka wa kuanza kulifanyia kazi.

Tujiulize tumefikaje hapa mpaka watoto wa sekondari waanze kufanya kampeni za kidini? Kama hatutabadilika sasa na tukaacha hii chuki ya kidini ikaendelea kujengeka kwa vijana wetu basi muda si mrefu taifa ili litaangamia na vurugu za kidini.

Hata ukiangalia post nyingi kwenye huu uzi utaona tofauti za kidini zilivyotawala na utetezi wa pande nyingi unasukumwa na imani ya mtoa post. TAFAKARI

 
gazeti la Nipashe linahistoria mbaya kwa jamii ya kiislam. zuri la waislam wao watalipaka matope, baya la wakiristo wanalipaka mafuta. hii ni kutokana na muhariri wake A.K . A MBASHA ASENGA wa makala za mwanahalisi anavyoharibu kampuni ya IPPMEDIA na kuoekana kama ya KANISA

Kakojoe ulale toa hoja mfu hapa.
 
Waislamu bwana. tatizo ni kwamba wakati tunawabeza utayari wao kuua mtu ni guaranteed kama jua kuchomoza asubuhi,I wish UN watoe resolution juu ya islamu
 
wengine tuliyaona haya kitambo lakini akina mshikachuma and co wakatu label wadini! inaelekea wanafunzi wa dini ya kiislamu ni wachache shuleni hapo maana kwa jinsi ninavyowajua kama wangekuwa ni wengi basi wasingesusa kupiga kura...dah eti watu wanataka waalimu wa kiislamu tu kwenye shule ya serikali...wachague basi kutibiwa na madaktari waislamu tu wanapokwenda kwenye hospitali za serikali...
 
Wanadekezwa hawa, wako wapi wale walim wetu jamani?
Wangechukua mboko hawa na wasingerudia tena vurugu za kijinga kama hizi!
 
Nashauri mgogoro huu ushughulikiwe kwa hekima ya hali ya juu na mwalimu mkuu arudishwe shuleni mara moja pamoja na wanafunzi wa Kikristo warejeshwe shuleni.
Kama hayo hayatafanyika bac wanafunzi wote wa kiislam waliopo shule za kikristo mpaka vyuo waondolewe mara moja.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wakati nasoma korogwe girls ilizuka the same thing kti ya wakristo na waislam tena wanawake ilifika mahali ikawa balaa kabisa wakristo walikuwa watulivu sana ,wakaanza kujipigia kampeni kwenye vipindi vya dini hawa watu kuna dada mmja alikuwa anaitwa subira mapunda she was mdini kweli kweli,ila mkuu wa shule aliwafyeka na kilichokuwa kinawaumiza sana katika vidato vyooote kuanzia Olevel mpaka a leve hamnaga muislam alikuwa anaiona hata top tena so ilikuwa ni dharau sana kwao
 
Return Of Undertaker

Mgogoro mkubwa umeibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo mkoani Pwani kati ya wanafunzi wa Kiislamu na Kikristo na kusababisha Mkuu wa Shule hiyo, Bonus Ndimbo, kuikimbia shule na familia yake kuhofia usalama wa maisha yake. Pia, baadhi ya wanafunzi wa Kikristo wamekimbia shule hiyo na kurejea majumbani mwao kutokana na vitisho wanavyopewa.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salehe Mbaga, akizungumza na NIPASHE jana kwa simu, alithibisha kuwepo kwa mgogoro huo, lakini alisema hajapata taarifa za kukimbia kwa Mkuu wa Shule. “Kama kweli Mkuu wa Shule amekimbia shuleni atakuwa amefanya vizuri kwa sababu alikuwa hatakiwi na wanafunzi,” alisema Mbaga ambaye hata hivyo, hakutaka kufafanua zaidi chanzo cha mgogoro huo. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi, alipotafutwa, alisema mgogoro huo upo, lakini alikataa kutoa maelezo zaidi na hatua zilizochukuliwa yatolewe na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo. Hata hivyo habari zilizopatikana shule hapo zinaeleza kuwa mgogoro huo ulianza wakati wa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa serikali ya wanafunzi.

Wakati wa uchaguzi huo walijitokeza wagombea wawili wa nafasi ya Kilanja Mkuu wa Shule, Answal Abdul na Emmanuel Mmari ambao walikuwa wakichuana nafasi hiyo. Wote ni wanasoma kidato cha tano. Chanzo cha habari kinaeleza kuwa kampeni zilipoanza wanafunzi wa Kiislamu ambao baadhi yao ni viongozi wa msikiti uliopo shuleni hapo, walianza kumpigia kampeni mgombea wa dini yao na wa dini ya Kikristowalianza kufanya hivyo.

Habari zaidi zinaeleza kuwa wakati kampenizikiendelea, inadaiwa Mkuu wa Shule aliwasihi wanafunzi wa Kiislamu waache kupiga kampeni kwa kufuata misingi ya dini. Kauli hiyo ya Mkuu wa Shule inadaiwa iliwakera wanafunzi wa Kiislamu ambao walichukua uamuzi wa kumuondoa katika kinyang’anyiro mgombea wa waliyekuwa wakimpigia kampeni, Answal Abdul na kubakia mgombea pekee Emmanuel Mmari. Habari zinaeleza kuwa siku ya uchaguzi
wanafunzi wote walishiriki, lakini wanafunzi wa Kiislamu licha kupewa karatasi za kupigia kura hawakuandika chochote katika karatasi hizo huku wanafunzi wa Kikristo wakipiga kura.

Baada ya uchaguzi huo, Mmari alichaguliwa kuwa Kiranja Mkuu wa shule hiyo. Mkuu wa Shule hiyo, Ndimbo baada ya
kukamilika uchaguzi huo alitangaza siku ya kuapisha viongozi wa serikali ya wanafunzi waliochaguliwa na ndipo mgogoro ulioanza. Siku ya kuapisha viongozi hao, wanafunzi wa Kiislamu inadaiwa walimvamia Mkuu wa Shule na kumnyang’anya karatasi zilizokuwa zimeandika majina ya viongozi waliopangwa kuapishwa, hali iliyozua vurugu ambazo hata hivyo, baadaye zilitulia. Mtoa habari wetu amesema tangu siku hiyo wanafunzi wa Kiislamu walianza kushinikiza Mkuu wa Shule ahamishwe na kwamba hawautambui uongozi wa shule uliochaguliwa na pia hawataki walimu Wakristo shuleni hapo.

Habari zaidi zinasema kuwa vitisho viliendelea na kuwa nyakati za usiku watu wasiofahamika walikuwa wakipita na pikipiki kuzunguka mabweni na shule. Kutokana na hali hiyo, wanafunzi wa Kikristo waliamua kuondoka shuleni hapo kurejea majumbani hadi sasa kuhofia usalama wa maisha yao. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya
Bagamoyo, Samuel Saliyanga, alipoulizwa alisema bodi ya shule hiyo ilikuwa inakutana jana kutoa maamuzi ya suala hilo na kwamba yeye atapata taarifa kupitia kwa Afisa Elimu
ya Sekondari.

CHANZO: NIPASHE

Sasa kwa mtazamo wangu hakuna wa kuuzima huu moto ndani ya serikali hii kwa maana kwa njia moja au nyingine inawasaidia watawala katika divide and rule.


Return Of Undertaker nimerekebisha tu mpangilio wa bandiko lako!!

Thanks mkuu
 
kura za hapana haziwez kuwa nyng mkuu,mashulen hakna maislam kabisa,labda km ungesema mwenyekiti wa mtaa wa manzese!
Kama mashuleni Hakuna Maislamu Hayo Makristo yalikimbia nini huko shuleni ?
 
Kama kweli kamanda wa Polisi amejibu hivyo basi ni bahati mbaya sana. Kwa nini mwalimu mkuu asitakiwe? je, inawezekana sasa Wakristo wakasoma kwenye shule zao wakiwa na walimu wao Wakristo na Waislamu wakasoma kwenye shule zao wakiwa na walimu wote Waislamu ili kuleta amani? Kama wanafunzi wa Kiislamu hawawataki walimu Wakristo wasilazimishwe kufundishwa nao. Kwanza mtu usiyempenda akikufundisha huelewi somo. Tuepushe vita. Kama kukaa pamoja inashinidika basi tusipigane na kuuana. Tutengane kwa amani.
 
Swali la msingi ni je,'' Ni kweli vurugu zimetokea hapo shuleni? Kama ni ndio je, zimesababishwa na uchochezi wa kidini? Je ni kweli wanafunzi hawamtaki mkuu wa shule kwa sababu ni mkristo? Je ni kweli wanafunzi hawawataki walimu kwa sababu sio waislamu? Kama majibu yote ni ndio basi mhariri hana kosa na hajawapaka matope waislam na haimaanishi kuwa waislam wote ni wabaya kwasababu hicho ni kikundi kidogo tu cha watu ambacho hakina representation ya waislam wote nchini.
Lets face the facts tuondoe chembechembe za hii mbegu inayotaka kupandwa sasa sooner than later.

gazeti la Nipashe linahistoria mbaya kwa jamii ya kiislam. zuri la waislam wao watalipaka matope, baya la wakiristo wanalipaka mafuta. hii ni kutokana na muhariri wake A.K . A MBASHA ASENGA wa makala za mwanahalisi anavyoharibu kampuni ya IPPMEDIA na kuoekana kama ya KANISA
 
Dawa ni kuwatengea shule zao wakae peke yao,wafundishwe na walimu wa kwao,tuone kama chokochoko zitaisha.NDANDA Sekondari ilikuwa hivyohivyo kitu kidogo kinakuzwa utadhani ndicho walicho fuata.je, viongozi wa shule wangekuwa wanalipwa posho si ingekuwa balaa!! halafu fuatilia uone huyu anae utaka ukiranja mkuu amekwenda na sifa gani,utakuta kaenda na;DDC badala ya kukaza buti atoke na daraja zuri anautaka ukiranja kwa udi na uvumba.
 
So, why are Muslims so powerless?*
Answer: **Lack of education**.*

All we do is shouting to Allah the whole day!!! And blame everyone
else for our multiple failures!!!!!

===============================
*Muslims are not happy*

*They’re not happy in Gaza *

*They're not happy in Egypt *

*They're not happy in Libya *

*They're not happy in Morocco *

*They're not happy in Iran *

*They're not happy in Iraq *

*They're not happy in Yemen *

*They're not happy in Afghanistan *

*They're not happy in Pakistan *

*They're not happy in Syria *

*They're not happy in Lebanon *

*So, where are they happy?*

*They're happy in Australia *

*They're happy in England *

*They're happy in France *

*They're happy in Italy *

*They're happy in Germany *

*They're happy in Sweden *

*They're happy in the USA & Canada *

*They're happy in Norway *

*They're happy in almost every country that is not Islamic!*

*And who do they blame?*
*Not Islam...*
*Not their leadership...*
*Not themselves...*
*THEY BLAME THE COUNTRIES THEY ARE HAPPY IN*

*And they want to change the countries they're happy in,* *to be like
the countries they came from,* *where they were unhappy.*

*Try to find logic in that!*

*Jeff Foxworthy on Muslims: *

*1. If you refine heroin for a living, but you have a moral objection
to liquor, *

*you are a Muslim. ** *

*2. If you own a $3,000 machine gun and $5,000 rocket launcher, but
you can't afford shoes,*

*You are a Muslim*

*3. If you have more wives than teeth,*

*You are a Muslim*

*4. If you wipe your butt with your bare hand, but consider bacon unclean.*

*You are a Muslim.*

*5. If you think vests come in two styles: bullet-proof and suicide,*

*You are a Muslim.*

*6. If you can't think of anyone you haven't declared Jihad against.*

*You are a Muslim. ** *

*7. If you consider television dangerous, but routinely carry
explosives in your clothing,*

*You are a Muslim. ** *

*8. If you were amazed to discover that cell phones have uses other
than setting off roadside bombs,*

*You are a Muslim.*

*9. If you have nothing against women and think every man should own
at least four,*

*You are a Muslim.*

*10. If you find this offensive or racist and don't forward it,*

*You are a Muslim. ** *

nimeipenda sana hii hasa hapo kwenye red.........maana huko kwenye hizo nchi hata wao wenyewe hapa bongo huwa hawaendi utawakuta wamejazana ubalozi wa marekani na uingereza tu.....nendeni huko ss.mnataka kuifanya tanzania sawa na hizo nchi za kiislam sio????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom