Hiyo room ya nani? Lecturer amekwenda kulala kwa mwanafunzi wake? Kweli taaluma ya ualimu imevamiwa!!Hawa ndio wanaosifika kwa kujitamba mbele ya wanafunzi wakiwaambia "tumebeba degree zenu", "ukiingia 18 zangu huchomoki", n.k
Wengine hutumia nguvu hii kubwa waliyonayo kutuliza tamaa zao za miili kwa kuwapiga pini kwenye mitihani mabinti, hapo akimfelisha mtihani...
We ndo umeandika Sasa.Waweke team inayokaa at the end of the year ku verify results/grades. Hao malecturer wakiondolewa power au kwa kujua grading wanayotoa pia zinakuwa under scrutiny wataacha ufala
PointWaweke team inayokaa at the end of the year ku verify results/grades. Hao malecturer wakiondolewa power au kwa kujua grading wanayotoa pia zinakuwa under scrutiny wataacha ufala
Acha kuwaumiza zaidi kuwakandamiza wanawake wengine hawapendi hayo mambo kama huyo mpaka kakubali kutumika yeye ili kumkamata huyo walimu inahitaji ujasili..Hama wanachuo wakipata kazi maofisini ndio wanaoendeleza umalaya wao maofisini mwisho wanakuwa ma single mother, nani ataoa mwanamke muhuni? Kumbe uhuni wao wanauanzia chuoni wakiolewa hawatulii kwenye ndoa zao wanaachika kwa tabia hii isiyokubalika
KamaWanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.
Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo...
ama hii video ina ukweli kwanini hamuweki jina?
Kama hii video ina ukweli kwanini hamuweki maina ya wanaonekana kwa video? Ikiwa video ni ya Mwalimu na Bar maid kuna shida yoyote ya kisheria?Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.
Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo...
Hivi tatizo ni kubwa kiasi hicho au vilaza wanalipigia filimbi ili ku justify ukilaza wao?Hili suala la uhusiano wa lecturers na wanafunzi wao linatakiwa kuangaliwa vizuri. Linaweza leta utumwa wa kingoni.
Kuna mmoja hapa udsm coss anawamung'unya balaa
Hata kama wanaoathirika ni wawili au watatu, bado ni tatizo kubwa. Mtu hatakiwi kuwa blackmailed ili ashiriki ngono, ni kama ubakaji.Hivi tatizo ni kubwa kiasi hicho au vilaza wanalipigia filimbi ili ku justify ukilaza wao?
Ndo wakaona pa kulipoti ni kwa MangeMkuu malecturer ya Udom mazuzu sana. Ungeweka picha yake huyo lecturer ionekane vzr maana haionekani fresh.
Hao wanafunzi waliomkamata nawapongeza sana. Wapewe degree ya heshima. Na iwe funzo, na waendelee kuwakamata hivohivo wasichoke kabisa.
Mbona unanishambulia sana kiongozi? Au na wewe una tabia hizo?
Asante kaka Mshana Jr na Extrovert kwa kuweka picha,mkiweza wekeni hadi video ile.
Serikali okoeni hawa mabinti.
Acha uwongoo wewe[emoji848]Hakuna anae pewa sup ili aje afanye na mwalimu ngono. Suo unapata kwa uvivu wako wa kusoma. Kuchomoa ndo unaamua ukomae kusoma au utanue mapaja.
Nawajua wadada walio tongozwa na wakufunzi na wakawachomolea without problem. Ni ntu na uhuni wake.
Lazima umbeto sio?Assignment hufanyi, test 1 na 2 jumla una 6, quiz hufanyi, lab report mbovu, CA ya 16, UE unapata 10,, matokeo yanaoka una supp, unanipigia simu nikusaidie na unajijua ni pisi kali,, pesa ya kunipa yenyewe huna,,, unategemea nn?? Nkuache?? Wewe kama nan?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo ipo lakini na nyie ma lecturer muache tamaa, kuna demu aliitwa ofisini kwa lecturer akajua tu ni kutongozwa so akaenda ameweka voice recorder on kwenye simu...