UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

Usiseme wote hawana akili sema uliokutana nao hawana akili .....
 
Wewe kwelii duh sasa si watu wengi wana carry kama sio Ku disco iyo 16 inataka kuniua hongereniii mno
 
Stay lowkey as you can, kuwa na akili na fanya kazi zote ulizopewa na faulu mitihani na test zako zote vizuri. hakuna sehemu utakutana na mwalimu na hata akikubabaisha unaweza kusimama kwenye haki kujitetea. shida huwa inaanza pale mwanafunzi ameharibu halafu anaenda kuomba favour.

Kuna mazingira ya mwalimu kufanikisha anayoyataka, wanafunzi waepuke hayo mazingira, unless wamependana wakaamua kuwa wapenzi.
 
yaani wakiingia kwenye ajira ni vimeo mpaka unashindwa kuelewa amepataje degree....
Ni kweli hata ukiwaita kwenye interview wengi wao huwa wanategemea ushawishi wa sura na maumbo yao badala ya kuonyesha uwezo wa kazi.ndiyo maana waajiri wengi wanalalamikiwa wanaomba Rushwa za ngono kumbe wanajitongozesha ili wapate ajira.Ni hatari tupu.tuendelee kuiombea nchi ili mifumo ya nchi ifanye kazi yenyewe.
 
saa nyingine na nyie huwa mnajitakia wenyewe. Na tako lako kubwa unaombwa mpaka ndogo, afu unaendelea kujilegeza na kujichekesha tuu. Matokeo yake unaliwa tundu zote kimasihara.

Ukishaona hivyo, ripoti office za takukuru zimejaa kila kona, watakupa maelekezo ya namna ya kufanya. Kama watawafuma nyumbani kwa muhusika au gest, wao watakueleza namna ya kufanya ili wamtie mikononi mwao kirahisi kabisa na sheria ichukue mkondo wake.
 
Kuna mmoja hapa Chuo cha ushirika Moshi campus ya Kizumbi Shinyanga pia naye amewapa mabinti wengi sup ambao wamekataa kumpa Mbususu
 
Niamini Mimi, mabinti wengi wa chuo wanatamani kuwa na mahusiano na ma lecturer wao ili wapate kitonga kwenye masomo yao
 
Lakini pia ujue wadada wengi wanajipitisha kwa malecture ili wapate kitonga, Sasa lecturer anakuwa anajua wote wanamtaka so ikitokea mmoja akawa n amsimamo anampa sup au kufanya chochote. So hizi kesi zinatakiwa kuchungizwa vizuri
 
Kuna mmoja uyo wa MUCO alitaka kuleta story za kijinga kwa dem wa rafiki yangu. Alichokipata sidhani kama atarudia tena huo mchezo
Ndio maana mimi nimesema ukiona mwanafunzi wa chuo kaliwa na lecturer ujue kapenda mwenyewe. Katika ulimwengu huu wa sasa unalazimishwaje kutoa mbususu wakati kuna njia lukuki za kumkamatisha mhusika? Unless kama hao mabinti wanaokubali nao akili zao haziko sawa.
 
Kwanza hivyo ndo viinua mgongo vyenyewe, kazi ya kufundisha ni ngumu sana.
 
Hama wanachuo wakipata kazi maofisini ndio wanaoendeleza umalaya wao maofisini mwisho wanakuwa ma single mother, nani ataoa mwanamke muhuni? Kumbe uhuni wao wanauanzia chuoni wakiolewa hawatulii kwenye ndoa zao wanaachika kwa tabia hii isiyokubalika
baadaye kwenye ndoa utawasikia ohh ana kibamia mara hanifikishi kileleni kumbe ulishafurugwa vyuoni kwa kila mtarimbo
 
Sisi wenye watoto wa Kike wanaosoma Vyuo Vikuu tulishajiandaa kisaikolojia!
Tuko tayari wakati wo wote kupokea matokeo na kuyakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…