Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 852
- 1,081
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana IDMmajuaje kama ni madent wa UDOM? Wanavaa IDs?
Mama alisema hao wote, mhadhiri na mwanafunzi, ni watu wazima.Na wewe unasoma hicho chuo?
Na wengi wao hawasomi, wako bussy na appointments. Mitihani ikifika wanatafuta ufadhili wa wakufunzi.Sasa kama hao wanafunzi wanamtegatega mkufunzi kigwadugwadu atawaacha? Nani asiyejua chuoni kuna ushenzi mkubwa unafanyika? Labda wacha Mungu ndio wanaweza wasifanye ushenzi huo.
Ila asilimia kubwa ya wenye sura nzuri na maumbo ya kuvutia kingono ni wahanga wa vitendo hivyo
Hata wenye ushahidi huwa wanateteana sana tu, sio wote ni easy prey, na ma lecturer hupenda watu watulivu ndio wanakusunbuaLabda kwa private institutions na sio gov,, nawajua lecturers baadhi ambao wametoka kuwa senior lecturers to Normal lecturers,, just because of posing threats kwa wanafunzi na kuwafelisha kwa makusudi ( na hiyo it's just kuwakomoa na sio kwamba walitaka sex)
Yes perverts wapo wengi tu, lakn eti just because ww ni "mwanafunzi mzembe" ndo ujifanye easy prey watakutafuna tu,,
I
Kweli kabisa.Mama alisema hao wote, mhadhiri na mwanafunzi, ni watu wazima.
Si ndy hapoKidemu chenyewe mbona hakina chura.
Kuna mmoja hapa UDSM CoSS coss anawamung'unya balaa
Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.
Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.
Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake. Nimeumia sana sanaaa.
Kuna uzi niliuweka humu pia UPDATES yake nimeiweka juzi. MIMI NIMEMWACHIA MUNGU, ATANITENDEA NA AMEANZA KUNITENDEA.
Tabia hii ipo sana sanaaa
Source: Mange
Pia, soma=> Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) chamsimamisha Mhadhiri kwa tuhuma za ngono
Aiseeee, nyie watoto wadogo sana. Umemaliza SUA ni nikiwa na miaka 10 toka nimalize course ya akina Kusolwa na Marehemu Msogoya