UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

Sasa kama hao wanafunzi wanamtegatega mkufunzi kigwadugwadu atawaacha? Nani asiyejua chuoni kuna ushenzi mkubwa unafanyika? Labda wacha Mungu ndio wanaweza wasifanye ushenzi huo.

Ila asilimia kubwa ya wenye sura nzuri na maumbo ya kuvutia kingono ni wahanga wa vitendo hivyo
Na wengi wao hawasomi, wako bussy na appointments. Mitihani ikifika wanatafuta ufadhili wa wakufunzi.
 
Labda kwa private institutions na sio gov,, nawajua lecturers baadhi ambao wametoka kuwa senior lecturers to Normal lecturers,, just because of posing threats kwa wanafunzi na kuwafelisha kwa makusudi ( na hiyo it's just kuwakomoa na sio kwamba walitaka sex)

Yes perverts wapo wengi tu, lakn eti just because ww ni "mwanafunzi mzembe" ndo ujifanye easy prey watakutafuna tu,,

I
Hata wenye ushahidi huwa wanateteana sana tu, sio wote ni easy prey, na ma lecturer hupenda watu watulivu ndio wanakusunbua
 
Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.

Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.

Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake. Nimeumia sana sanaaa.

Kuna uzi niliuweka humu pia UPDATES yake nimeiweka juzi. MIMI NIMEMWACHIA MUNGU, ATANITENDEA NA AMEANZA KUNITENDEA.

Tabia hii ipo sana sanaaa

Source: Mange

Pia, soma=> Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) chamsimamisha Mhadhiri kwa tuhuma za ngono


Kwenye hiyo video mbona kama mkufunzi anachekelea?
 
Siku hizi hamsini vijana ndio chanzo hiki. Utoto na u much know umekuwa mwingi sana.
 
Back
Top Bottom