Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana tunakutana Wasomi uchwara!Sio hawana security mkuu, pale wapo learners wanaojua hasa kucheza na mfumo.
Na wahusika ni watu wa CIVE bila shaka
Chuo kimechukua hatua gani kuzuia udukuzi? Kama wanafunzi 400 wameweza kufanya hivyo basi mfumo wao ni wa ovyo na unahitaji kuimarishwa zaidi.TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI
Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify
Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400 kufutwa masomo kwa tuhuma za kudukua mfumo. Ukweli ni huu;
Jumla ya wanafunzi 170 walituhumiwa kuchezea Mfumo wa matokeo (SR2) Mwaka 2023/2024. Serikali iliunda Kikosi Kazi kilichohusisha wataaalamu wa Mifumo ya Komputa kuchunguza tuhuma hizo na kuwasilisha ripoti yao Chuo Kikuu cha Dodoma. Baada ya Chuo kupokea ripoti hiyo hatua za ndani zilianza kuchukuliwa ikiwa ni pamoja na kuwapa wito watuhumiwa kuja kusikilizwa kabla ya kutoa maamuzi kwa mujibu wa Kanuni zilizopo.
Jumla ya wanafunzi 148 walisikilizwa, wanafunzi 32 hawakufika kusikilizwa. Katika wanafunzi waliosikilizwa, wanafunzi 121 walipatikana na hatia ya kuhusika kuchezea matokeo ya mitihani na kikao cha Seneti ya Chuo kupitisha kuondolewa masomoni (Discontinue). Kesi za wanafunzi 15 zinaendelea na uchunguzi zaidi. Wanafunzi wawili hawakukutwa na hatia.
Kwa mujibu wa taratibu za Chuo Kikuu cha Dodoma, mwanafunzi ambae hajaridhika na maamuzi ya Seneti anapewa nafasi ya kukata rufaa. Hivyo wanafunzi ambao hawajaridhika taratibu ziko wazi, wana fursa ya kukata rufaa kupitia mifumo iliyowekwa na Chuo.
Dirisha la rufaa hufunguliwa wiki mbili baada ya matokeo ya mitihani kutoka na kufungwa baada ya wiki mbili. Mwanafunzi ambae yupo nje ya muda, anaruhusiwa wakati wowote kuomba kukata rufaa nje ya muda
Chuo kitaendelea kusimamia taratibu, Kanuni na Sheria za kimitihani ili kulinda ubora wa taaluma na hadhi ya Chuo, pasipo kumuonena mtu yeyote.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Masoko (UDOM)
22/2/2025
Kwa hiyo ulipopiga likarai lako la halali wakakuona falaNi kawaida kudukua matokeo vyuo vingi sio UDOM pekee, sisi waoga tulikua tunatumbua tu macho watu wanavyojiondolea supp na kujiwekea A, B+
Hawajakamatwa hivyo mimi ndio fala🤣Kwa hiyo ulipopiga likarai lako la halali wakakuona fala
moja ya vyuo vichqhce nchi vinavyofundisha cyber. Nadhan wanafunzi wanafanyia experiments zao hapo hapoUDOM muwekewe porn kwenye website yenu, nyienyie mdukuliwe, hivi mna IT competent au ushuzi tuu
Jf kila mtu ana degree,pole wewe mkuu!Bi dada kumbe na wewe umesoma? Hongera
itaji hackers wa kutosha kama hao, good start.TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI
Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify
Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400 kufutwa masomo kwa tuhuma za kudukua mfumo. Ukweli ni huu;
Jumla ya wanafunzi 170 walituhumiwa kuchezea Mfumo wa matokeo (SR2) Mwaka 2023/2024. Serikali iliunda Kikosi Kazi kilichohusisha wataaalamu wa Mifumo ya Komputa kuchunguza tuhuma hizo na kuwasilisha ripoti yao Chuo Kikuu cha Dodoma. Baada ya Chuo kupokea ripoti hiyo hatua za ndani zilianza kuchukuliwa ikiwa ni pamoja na kuwapa wito watuhumiwa kuja kusikilizwa kabla ya kutoa maamuzi kwa mujibu wa Kanuni zilizopo.
Jumla ya wanafunzi 148 walisikilizwa, wanafunzi 32 hawakufika kusikilizwa. Katika wanafunzi waliosikilizwa, wanafunzi 121 walipatikana na hatia ya kuhusika kuchezea matokeo ya mitihani na kikao cha Seneti ya Chuo kupitisha kuondolewa masomoni (Discontinue). Kesi za wanafunzi 15 zinaendelea na uchunguzi zaidi. Wanafunzi wawili hawakukutwa na hatia.
Kwa mujibu wa taratibu za Chuo Kikuu cha Dodoma, mwanafunzi ambae hajaridhika na maamuzi ya Seneti anapewa nafasi ya kukata rufaa. Hivyo wanafunzi ambao hawajaridhika taratibu ziko wazi, wana fursa ya kukata rufaa kupitia mifumo iliyowekwa na Chuo.
Dirisha la rufaa hufunguliwa wiki mbili baada ya matokeo ya mitihani kutoka na kufungwa baada ya wiki mbili. Mwanafunzi ambae yupo nje ya muda, anaruhusiwa wakati wowote kuomba kukata rufaa nje ya muda
Chuo kitaendelea kusimamia taratibu, Kanuni na Sheria za kimitihani ili kulinda ubora wa taaluma na hadhi ya Chuo, pasipo kumuonena mtu yeyote.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Masoko (UDOM)
22/2/2025
Wanakwama sana.Sio hawana security mkuu, pale wapo learners wanaojua hasa kucheza na mfumo.
Na wahusika ni watu wa CIVE bila shaka
Hili ndio limewaponza, wangejua kuna copies zingine wangeacha kudukua.Sasa chuo si kina mitihani hard copies..! Hawakuwaza vizuri..
Hao madogo waache ufwaaalaa.....wasome....elimu ya kweli itawasaidia binafsi.....TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI
Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify
Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400 kufutwa masomo kwa tuhuma za kudukua mfumo. Ukweli ni huu;
Jumla ya wanafunzi 170 walituhumiwa kuchezea Mfumo wa matokeo (SR2) Mwaka 2023/2024. Serikali iliunda Kikosi Kazi kilichohusisha wataaalamu wa Mifumo ya Komputa kuchunguza tuhuma hizo na kuwasilisha ripoti yao Chuo Kikuu cha Dodoma. Baada ya Chuo kupokea ripoti hiyo hatua za ndani zilianza kuchukuliwa ikiwa ni pamoja na kuwapa wito watuhumiwa kuja kusikilizwa kabla ya kutoa maamuzi kwa mujibu wa Kanuni zilizopo.
Jumla ya wanafunzi 148 walisikilizwa, wanafunzi 32 hawakufika kusikilizwa. Katika wanafunzi waliosikilizwa, wanafunzi 121 walipatikana na hatia ya kuhusika kuchezea matokeo ya mitihani na kikao cha Seneti ya Chuo kupitisha kuondolewa masomoni (Discontinue). Kesi za wanafunzi 15 zinaendelea na uchunguzi zaidi. Wanafunzi wawili hawakukutwa na hatia.
Kwa mujibu wa taratibu za Chuo Kikuu cha Dodoma, mwanafunzi ambae hajaridhika na maamuzi ya Seneti anapewa nafasi ya kukata rufaa. Hivyo wanafunzi ambao hawajaridhika taratibu ziko wazi, wana fursa ya kukata rufaa kupitia mifumo iliyowekwa na Chuo.
Dirisha la rufaa hufunguliwa wiki mbili baada ya matokeo ya mitihani kutoka na kufungwa baada ya wiki mbili. Mwanafunzi ambae yupo nje ya muda, anaruhusiwa wakati wowote kuomba kukata rufaa nje ya muda
Chuo kitaendelea kusimamia taratibu, Kanuni na Sheria za kimitihani ili kulinda ubora wa taaluma na hadhi ya Chuo, pasipo kumuonena mtu yeyote.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Masoko (UDOM)
22/2/2025
Naye anataka kujiita Dokta Majaliwa.Chuo cha kisiasa!
Majaliwa mnampatia lini kile kitu kama mlichompatia chura kiziwi!
Chuo Cha kata ni UDSM Kwa sasaHiki chuo hakiishiwi matatizo, ndo maana kinaitwa chuo cha Kata.
Lol
Hata Ukitaka kufanya practical lazima uaendike theory kwanzaHiyo mitihani si kipimo cha maarifa.., ni ujinga ujinga tu…, mitihani yote iwe practical…
Za kukariri.., kama suala ni kutengeneza motor, mtu apewe vifaa aanza kufanya assembly.., mambo ya Faradays law na Ohms law akae nayo kichwani kwake, si ameshasoma? Sisi tunataka motor izunguke na pump ipandishe maji, hapo ndio mwalimu ataoe maksi…Hata Ukitaka kufanya practical lazima uaendike theory kwanza
Kwamba Ile mitihani huwa inatunzwa..?Hili ndio limewaponza, wangejua kuna copies zingine wangeacha kudukua.