UDOM yatoa ufafanuzi wa madai ya Wanafunzi 400 kuondolewa masomoni, wasema walidukua mfumo na kuchezea matokeo ya mitihani

UDOM yatoa ufafanuzi wa madai ya Wanafunzi 400 kuondolewa masomoni, wasema walidukua mfumo na kuchezea matokeo ya mitihani

moja ya vyuo vichqhce nchi vinavyofundisha cyber. Nadhan wanafunzi wanafanyia experiments zao hapo hapo

How ever nadhani IT admin wao si compentent enough, knowing wanafunzi ni watu wa kujaribu jaribu
Hapa umenena, kuna uwezekano baadhi ya vijana wako one step ahead zaidi ya admin au waalimu.

Kuna jamaa yangu ana phd ya mambo hayo anafundisha udom kwenye idara ya hayo mambo sijui anajisikiaje akisoma hapa.
 
Hao wadukuzi bila kupepesa macho ni kutoka kitovu cha CIVE pale, pale kuna vichwa sio poa..
 
Back
Top Bottom