Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Wahuni ni waajiriwa hao ndio wa kuwasweka ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni ni waajiriwa hao ndio wa kuwasweka ndani.
Ndio wasomi w Tanganyika wanavyo patikana.
KAZI ni kipimo cha utu
Hapa umenena, kuna uwezekano baadhi ya vijana wako one step ahead zaidi ya admin au waalimu.moja ya vyuo vichqhce nchi vinavyofundisha cyber. Nadhan wanafunzi wanafanyia experiments zao hapo hapo
How ever nadhani IT admin wao si compentent enough, knowing wanafunzi ni watu wa kujaribu jaribu