UDOM yatoa ufafanuzi wa madai ya Wanafunzi 400 kuondolewa masomoni, wasema walidukua mfumo na kuchezea matokeo ya mitihani

Chuo kimechukua hatua gani kuzuia udukuzi? Kama wanafunzi 400 wameweza kufanya hivyo basi mfumo wao ni wa ovyo na unahitaji kuimarishwa zaidi.

Amandla...
 
UDOM muwekewe porn kwenye website yenu, nyienyie mdukuliwe, hivi mna IT competent au ushuzi tuu
moja ya vyuo vichqhce nchi vinavyofundisha cyber. Nadhan wanafunzi wanafanyia experiments zao hapo hapo

How ever nadhani IT admin wao si compentent enough, knowing wanafunzi ni watu wa kujaribu jaribu
 
Tunah
itaji hackers wa kutosha kama hao, good start.
 
Sio hawana security mkuu, pale wapo learners wanaojua hasa kucheza na mfumo.
Na wahusika ni watu wa CIVE bila shaka
Wanakwama sana.

Yaani Maprof na Madokta wanaofundisha IT washindwe mbinu na wanafunzi wao waliowafundisha katika kudhibiti usalama wa mfumo wao..

Unakuta wanatumia wataalamu wengine kutoka nje ya Chuo kusimika huo mfumo.
 
Hao madogo waache ufwaaalaa.....wasome....elimu ya kweli itawasaidia binafsi.....

Unawezaje "kucompete* katika soko la ajira kupitia njia chafu za kudukua mfumo wa matokeo ?!!

#Kemea tabia mbovu za udukuzi katika taaluma
 
Hata Ukitaka kufanya practical lazima uaendike theory kwanza
Za kukariri.., kama suala ni kutengeneza motor, mtu apewe vifaa aanza kufanya assembly.., mambo ya Faradays law na Ohms law akae nayo kichwani kwake, si ameshasoma? Sisi tunataka motor izunguke na pump ipandishe maji, hapo ndio mwalimu ataoe maksi…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…