Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika maendeleo ya wanainchi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini,
Kazi ambayo, kipekee sana imekua inafanywa kwa ufanisi mkubwa mno na serikali sikivu ya CCM, chini ya kiongozi madhubuti, na kipenzi pekee cha wa Tanzania wote Dr. Samia Suluhu Hassan..
Kusipofanyika mabadiliko ya kimfumo, katiba na uongozi ndani ya vyama hivyo, basi kuna kila dalili mambo yale yale ya miaka nenda miaka rudi, yasiyo na tija wala maana yatafanyika tena hapo katikatika kuelekea uchaguzi mkuu.
kwa mfano, kuna dalili za kususia uchaguzi, kugomea matokeo, kuandamana kusikoeleweka, kuzira kushirikiana na taasisi fulani fulani kama vile vyombo vya habari na ulinzi, Lakini pia kuna kuungana kwa vyama vyama vya siasa kimila au kienyeji bila kua na makubaliano maalumu ya kisheria n.k
Kusipofanyika mabadiliko yoyote ya kimfumo, basi vituko, hadaa na sarakasi za viongozi wa vyama hivyo vya siasa vitaendelea kila kukicha. Kwa mfano sasa hivi Chadema wameandaa maandamano haramu ambayo yamepigwa marufuku na polisi, huku viongozi wao karibu wote wakiwa standby na tiketi za ndege mkononi, tayari kukwea pipa mambo yakiwa moto na kutokomea ughaibuni, huku hawa wananchi wa kawaaida makapuku wakiendelea kuchezea virungu, kuteguliwa viuno na taya na kusota korokoroni bila msaada wakati wenyewe wanakula bata ughaibuni.
halafu baadae wakiwa huko ughaibuni, wanaanza kuuliza tena makapuku hao hao,kwamba tuje au tusije, wakati walikimbia..
eti andaeni mapokezi airport tarehe fulani tunakuja 🤣
Akili za kuambiwa Changanya Na zako 🐒
Mungu Ibariki Tanzania