A
Sababu yake ni nini?Huo sio utaratibu wa UDSM tu . Hauwezi kwenda pia kwenye ofisi za uma na kofia au pensi au viatu vya wazi. Huo ni utaratibu .
Imekuwa ni kawaida kwa walinzi kuwalazimisha wanafunzi kuvua kofia za cap wanapoingia library au sehemu za maofisi, huu ni unyanyasaji dhahiri kwa watanzania ambao wanatumia uhuru wao wa kuvaa kunyimwa haki ya kutumia maeneo muhimu ya kujifunza na kujifunzia. Sababu ya msingi kwanini wanazuiliwa kuingia maeneo hayo zinakuwa hazieleweki.
Je, kuna tatizo gani mtu akiingia library au kwenye ofisi akiwa amevaa kofia ya cap? Je, kuna hatari gani ya kiusalama itatokea kama huyu mtu atakuwa amevaa kofia ya cap.
Kuna watu wana matatizo mbalimbali yanayopelekea kuvaa kofia lakini unakuta hata mtu wa namna hiyo analazimishwa kuvua kofia.
Muda sasa umefika kwa Uongozi wa UDSM kuachana na fikra za kizamani na kuendana na mabadiliko ya dunia na kuruhusu vitu visivyo na madhara sio kwa usalama wa chuo na usaidizi wa kujisomea kuendelea
🤣🤣🤣🤣Kama kina samwel sitta wakiwa udsm walichapwa viboko na Nyerere kwa kudai Hali za msingi, wewe nafikiri kwa hoja hii ungekatwa kichwa ufilie mbali.
Wewe ULIZALIWA na nguo wewe?? mbona unavaa Nguo unaficha nn, Kwan ulizaliwa na Nguo?? Tuacheni kukariti Maisha usomi hauuusiani na kuvaa, swala la uvaaji ni destuti ya mtu wala sio usomi, Msifikir mtu kusoma ndo kutachange utaratibu wake mzima jinsi anavopenda kuishi na kuonekana, Ukitaka Rasta fuga rasta rasta hazimfanyi mtu aache kuwa na akili. Ni kukariri tu vitu visivyo na TijaaWasomi wa ovyooo kabisa,hujui hata secirity issue ndogo ndogo kama,hizo ni rahisi kwa mualifu kufichaa muonekano wa sura na cap.ulizaliwa na cap wewe
Kwan we nguo ulizaliwa nazoKwani hizo kofia mlizaliwa nazo? Fateni taratibu husika
Kwan we nguo ulizaliwa nazo
Tafuta tu pesa viatu vya wazi tunaingia navyo adi ofsi ya waziriHuo sio utaratibu wa UDSM tu . Hauwezi kwenda pia kwenye ofisi za uma na kofia au pensi au viatu vya wazi. Huo ni utaratibu .
Cha ajabu wanaovaa cap wakilinganishwa na wasiovaa probably wasiovaa Ndo wahuniCap ni uhuni