Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
Mvumilieni mleta mada. Huenda ana komwe kubwa au uso mpana hivyo anajisikia confortable akiwa na hiyo cap au mzula.
Sisi hili nalo ni kero?? Kila ofisi na utaratibu wake, kikwetu hata salam huku umevaa kofia si uungwana, cap ktk ofisi nyingi inaonekana kama uhuni. Fuata maelekezo hakuna kero hapo. Unaenda kuswali mskitini unaingia na viatu si sahihi, unaenda kanisani umevaa bukta si sahihi, vivyo hivyo mwanachuo kwenda ofsini unazungumza na kiongozi wake huku umeweka kofia lako.Imekuwa ni kawaida kwa walinzi kuwalazimisha wanafunzi kuvua kofia za cap wanapoingia library au sehemu za maofisi, huu ni unyanyasaji dhahiri kwa watanzania ambao wanatumia uhuru wao wa kuvaa kunyimwa haki ya kutumia maeneo muhimu ya kujifunza na kujifunzia. Sababu ya msingi kwanini wanazuiliwa kuingia maeneo hayo zinakuwa hazieleweki.
Je, kuna tatizo gani mtu akiingia library au kwenye ofisi akiwa amevaa kofia ya cap? Je, kuna hatari gani ya kiusalama itatokea kama huyu mtu atakuwa amevaa kofia ya cap.
Kuna watu wana matatizo mbalimbali yanayopelekea kuvaa kofia lakini unakuta hata mtu wa namna hiyo analazimishwa kuvua kofia.
Muda sasa umefika kwa Uongozi wa UDSM kuachana na fikra za kizamani na kuendana na mabadiliko ya dunia na kuruhusu vitu visivyo na madhara sio kwa usalama wa chuo na usaidizi wa kujisomea kuendelea.
Library sio offisi,Library ni ofisini ?
LIbrary kwa sehemu zilizoendelea kuna camera kwa ishu ya usalama sasa ww na cap lako unaficha nini?? Hata library ni ofsi ya mkutubi anayewapa wateja huduma.Library ni ofisini ?