UDSM, MUHAS & UDOM Vinashika Nafasi Tatu za juu kwa Vyuo Vikuu Kumi Bora Tanzania

Hayo ni mawazo yake binafsi, angepaswa kutoa vigezo vyote vya utafiti wake huo mdogo na ni lazima viwe vinatmbalika kimataifa. Hata mimi kesho nawezo toka piga K-Vant nikata na utafiti wangu mdogo. Sasa St Joseph inaipikuje Mbeya University of Science and Technology (MUST)
 
Mambo ya mwanafunzi bora au chuo bora ni ya kizamani sana kwa sasa , what next after that?
 
Bado UDSM ni chuo bora sana. Ni ndoto za watanzania karibu wote kusoma pale. Tena watu wengi waliokosa nafasi UDSM huwa wanaenda kusoma masters pale. Mimi sijasoma UDSM kwa sababu nilifeli form six.
ulipata ngap make siku hizi hata three wanasoma
 
DIT hakiwezi kuwepo hata iweje

Dar es Salaam Institute of Technology kinatakiwa kishindanishwe na wenzie akina NIT, DMI, IAA, TIA, IFM, na KIT
Wengineo Institute of social studies, institute of planning
Izo list zao uwa ni magumashi hauwezi kushindanisha chuo cha uhasibu na cha technology
 
Tutafute hela, mashindano ya vyuo bora havikutibu wala kutatua shida zako
Umeona boss😀😀mashindano ya chuo hayana msaada wowote kwenye utafutaji wa pesa mtu bora utoka kwenye chuo chochote
 
Kwanamba yoyote UDDM haiwezi kuipita mbeya na SAUT………,,
 
Kwani yule POPOMA wa SAUT naye ana maoni gani juu ya hizi takwimu zako?
 
Ndiyo,wanatoa hadi degree.Sijajua kama wameanza kutoa masters.

Neno 'institute' lisikuingize chaka.Chuo namba Moja duniani kinaitwa MIT,T-for institute.
Hawajui kitu hao watoto wadogo😀😀hawakijui vizuri MIT waingie tu ata Fb wakicheck vijana wa icho chuo wanavyotengeneza maroboti yao
 
Kweli wewe GENTA sijui upata wapi ujasiri wa kuweka list yako nimecheka sana aisee!!, binafsi sikubaliani na hii list kwa vile hakuna chuo cha Buza hata kimoja lazima kuna uwakilini hapo.
 
Mambo ya mwanafunzi bora au chuo bora ni ya kizamani sana kwa sasa , what next after that?
Vyuo vinaposhuka ranks duniani, maana yake elimu yenu imeporomoka, kwahiyo inasaidia Kufanya reforms za elimu upya.
 
Kwanamba yoyote UDDM haiwezi kuipita mbeya na SAUT………,,
Bwana papason na hapa Udom imeshuka, mwaka jana kilikuwa nafasi ya 2 kwa Tanzania nyuma ya Udsm, ili kuthibitisha hili unaweza ukafuatilia kwenye link za sources Mbali mbali nilizoweka pale juu.
 
Wakati huo huo, udsm ni namba 31 kwa ubora barani Afrika. Tuendelee kujipigapiga kifua...
Pamoja na mambo mengine, kitendo cha kuhamisha ma Dr na ma prof kutoka kwenye vyuo na kupangia kazi za kiutendaji kwenye mawizara na taasisi za Serikali kumeteteresha ubora wa vyuo vyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…