UDSM, MUHAS & UDOM Vinashika Nafasi Tatu za juu kwa Vyuo Vikuu Kumi Bora Tanzania

UDOM????[emoji849][emoji849][emoji849]
Bwana Azarel ndiyo ulitambue sasa hata kama ni kishingo upande. Ukitaka kuamini zaidi nenda utafute vyanzo vyovyote unavyoviamini vinavyotoa ranks za vyuo bora Tanzania, kila mwaka Udom ipo top 4.
 
Mbona tukikutana kufanya masters CPA nk hivyo ulivyotaja hatuoni wakifanya vema zaidi?
Bwana adobe uko sahihi hivi vyuo kwenye kozi za CPA viko hovyo, lakini vinabebwa na kozi nyingine.
 
Chunguza. Kama huta kuta jopo lote ni Wazungu. Hawa wa kwetu huwepo kuangalia tu. Hata zile oparation za Moyo huwa ni Wazungu /Wahindi. Hawa wa Tz hata Jicho tu uki cheza unakuwa Kipofu.
Bwana WAZO2010 kuthibitisha madai yako ni ngumu sana kwa sababu wakati wa tukio sishuhudii kwa macho yangu. Lakini pamoja na hilo bado kushiriki kwao hauwezi kukudharau ni moja ya hatua kubwa sana.
 
Madam cocastic vyuo vyote vya Serikali ni div 2 mwisho kwa Ngazi ya degree, kwahiyo uko sahihi.
Si kweli ,vigezo mwisho kuwa principal pass 2 mfano CCF au CDF hizo zote ni three lakini mtu anapata vyuo vya serikali kwa ngazi ya degree mwaka jana miaka ya nyuma watu wanasoma wakiwa na ufaulu huo Ardhi, SuA , UDom nk
 
Bwana spirit of Tanzania, umegusua jambo muhimu sana
 
Si kweli ,vigezo mwisho kuwa principal pass 2 mfano CCF au CDF hizo zote ni three lakini mtu anapata vyuo vya serikali kwa ngazi ya degree mwaka jana miaka ya nyuma watu wanasoma wakiwa na ufaulu huo Ardhi, SuA , UDom nk
Bwana adriz uko sahihi kabisa na hiyo ni kutokana na TCU GUIDE BOOK ambayo utolewa kila mwaka, pamoja na kwamba inasema ni principle pass mbili bado kuna vigezo vingine mfano ufaulu wa masomo husika kwenye kozi husika kwa level ya form six na form four, kwahiyo bado unaweza ukawa na division 2 ya 10 au 11 au hata 1 ya 9 n.k ila ukakosa admission mfano kozi za engineering iwe chemical, civil, n.k zinahitaji mtu awe amefaulu masomo ya Kemia, Hesabu na Fizikia angalau C kwa o level au A level bila kujali anazo hizo principle pass mbili zilizowekwa.


Watu wote niliosoma nao mimi hakuna mtu hata mmoja aliyepata admission ya Udsm , sua, Udom bila ufaulu wa div 1 na 2.

Mwisho kabisa uwezi kuwa na F Yoyote kwa masomo ya combination ukapata admission kwenye vyuo vya Serikali nilivyovitaja hapa, hata uwe na BBF na mwingine DCD huyu ataipata admission kirahisi sana kuliko huyo mwenye BBF
 
Sawa. Dotto Biteko alisoma SAUT sasa ni Waziri wa Madini. Na anafanya vizuri kweri kweri.
 
Hvyo kwangu ni kama college ndo maana hata nilipopata nafasi ya kwenda udsm nikaghairi kusoma hapo...!!

#MIT
 
Oky kwahiyo kinashika namba moja kwa wajinga wenzie! kwahiyo na chenyewe nichakijinga full stop!
 
Bwana Eroni ubora wa elimu yetu unashuka lakini pamoja na kushuka kwake, vyuo nilivyoona at least vinajitahidi kulingana na utafiti wangu huu mdogo ni hivyo nilivyovitaja.
Sema tukwamba wanaregister wenye div za juu sana ndomana product yao ni nzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…