- Thread starter
- #121
Shukhrani Bwana Alfred ngoja nijikongoje nifike hapo.Asante Kijana, unaweza karibia maeneo ya Pub Alberto apa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukhrani Bwana Alfred ngoja nijikongoje nifike hapo.Asante Kijana, unaweza karibia maeneo ya Pub Alberto apa!
SAUT hakina consistency hata kwenye vyanzo vingine, mwaka mmoja kipo unaofuatia unakuta hakipo.Kama hakuna SAUT basi hio orodha ni batili
Madam cocastic vyuo vyote vya Serikali ni div 2 mwisho kwa Ngazi ya degree, kwahiyo uko sahihi.Acha uongo hakna 3 UD.
Bwana Azarel ndiyo ulitambue sasa hata kama ni kishingo upande. Ukitaka kuamini zaidi nenda utafute vyanzo vyovyote unavyoviamini vinavyotoa ranks za vyuo bora Tanzania, kila mwaka Udom ipo top 4.UDOM????[emoji849][emoji849][emoji849]
Bwana adobe uko sahihi hivi vyuo kwenye kozi za CPA viko hovyo, lakini vinabebwa na kozi nyingine.Mbona tukikutana kufanya masters CPA nk hivyo ulivyotaja hatuoni wakifanya vema zaidi?
Bwana WAZO2010 kuthibitisha madai yako ni ngumu sana kwa sababu wakati wa tukio sishuhudii kwa macho yangu. Lakini pamoja na hilo bado kushiriki kwao hauwezi kukudharau ni moja ya hatua kubwa sana.Chunguza. Kama huta kuta jopo lote ni Wazungu. Hawa wa kwetu huwepo kuangalia tu. Hata zile oparation za Moyo huwa ni Wazungu /Wahindi. Hawa wa Tz hata Jicho tu uki cheza unakuwa Kipofu.
Bwana mtwa mkulu, muhusika uliyemtag kashatoa orodha yake yeye anayoikubali pitia kwenye komenti utaona
Si kweli ,vigezo mwisho kuwa principal pass 2 mfano CCF au CDF hizo zote ni three lakini mtu anapata vyuo vya serikali kwa ngazi ya degree mwaka jana miaka ya nyuma watu wanasoma wakiwa na ufaulu huo Ardhi, SuA , UDom nkMadam cocastic vyuo vyote vya Serikali ni div 2 mwisho kwa Ngazi ya degree, kwahiyo uko sahihi.
Bwana spirit of Tanzania, umegusua jambo muhimu sanaKila mtu angeandika mawazo ya kweli kuhusu chuo basi haya mambo ya udsm,udom,sua yangeisha.
Nimesoma udsm miaka hiyo ikiwa udsm ila ukiniambia udsm leo ikoje siwezi kuanza kusifia.
Kila chuo kina eneo kiko vizuri na kwingine bado sana,SUA kuna eneo wako njema (mfano VET hata huyo Prof ni wa VET),nina staff kadhaa wa pale tunakutana huku kwenye makongamano,na wanafanya kazi kubwa,ila kuna college zimelala hakuna lolote la maana zinafanya.
Udsm pale engineering wako na kazi nzuri pia,huku CONAS bado.
Udom CIVE wako mbali sana,CNMS bado sana.
Ingewezekana tuanze kufanya ranking kwa level ya college za vyuo sio vyuo vizima utakuta tunasema chuo fulani bora huku hata maabara za kueleweka hawana mfano nenda Udom,Udsm na Sua halafu rudi na hitimisho.
Sijaandika kuhusu MUST hawa wako mbali na wanajitahidi japo wanaanza ,DIT na ATC si universities ila wako vizuri.
Z
Bwana adriz uko sahihi kabisa na hiyo ni kutokana na TCU GUIDE BOOK ambayo utolewa kila mwaka, pamoja na kwamba inasema ni principle pass mbili bado kuna vigezo vingine mfano ufaulu wa masomo husika kwenye kozi husika kwa level ya form six na form four, kwahiyo bado unaweza ukawa na division 2 ya 10 au 11 au hata 1 ya 9 n.k ila ukakosa admission mfano kozi za engineering iwe chemical, civil, n.k zinahitaji mtu awe amefaulu masomo ya Kemia, Hesabu na Fizikia angalau C kwa o level au A level bila kujali anazo hizo principle pass mbili zilizowekwa.Si kweli ,vigezo mwisho kuwa principal pass 2 mfano CCF au CDF hizo zote ni three lakini mtu anapata vyuo vya serikali kwa ngazi ya degree mwaka jana miaka ya nyuma watu wanasoma wakiwa na ufaulu huo Ardhi, SuA , UDom nk
sijawahi sema uongo my dear mimi mwenyewe nilimpeleka mdogo wangu main campusAcha uongo hakna 3 UD.
Sisi tuliosoma teku hatuna maana?Subiri waje wakubishie kwenye hiyo nafasi ya kwanza
Sawa. Dotto Biteko alisoma SAUT sasa ni Waziri wa Madini. Na anafanya vizuri kweri kweri.Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo husika katika suala zima la maendeleo na vyanzo vikuu nane vinavyo toa orodha ya vyuo bora katika nchi mbali mbali na duniani kwa ujumla, ambavyo vyanzo hivyo ni www.webometric.com, www.TimesHigherEducation.com, www.AcademicRankingofWorldUniversities.com, www.Quacquarellisymonds.com, www.EduRank.com, www.ShanghaiRankingConsultancy, www.UniversityGru.com bila kuisahau TCU.
Kwasasa hapa Tanzania vyuo vifuatavyo ndivyo vyuo kumi bora
1. University of Dar es salaam(UDSM)- Acceptance 75%
View attachment 2278312
2. Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS)- Acceptance 68%
View attachment 2278314
3. University of Dodoma (UDOM)- Acceptance 65%
View attachment 2278303
4. Sokoine University of Agriculture(SUA) - Acceptance 63%
View attachment 2278304
5. Ardhi University- Acceptance 58%
View attachment 2278321
6. Mzumbe University- Acceptance 48%
View attachment 2278306
7. Nelson Mandela African Institution of Science and Technology- Acceptance 48%
View attachment 2278307
8. State University of Zanzibar-Acceptance 41%
View attachment 2278308
9. Hubert Kairuki Memorial University-Acceptance 36%
View attachment 2278315
10.ST Joseph University of Tanzania- Acceptance 33%
View attachment 2278310
N.B
Katika kufanya upembuzi wangu huu, sijatumia chanzo kimoja ili kupata ranking hii, hapa nimetumia vyanzo nane vinavyojihusisha na ranking za vyuo vikuu kama nilivyozitaja huko juu.
Wanafunzi na wazazi hivi ndivyo vyuo vikuu vya hapa Tanzania ambavyo mwanafunzi/mtu anaweza kusoma na kutambulika ndani na nje ya nchi kirahisi.
Imeandikwa na Annunaki.
Wewe wasemaSisi tuliosoma teku hatuna maana?
Oky kwahiyo kinashika namba moja kwa wajinga wenzie! kwahiyo na chenyewe nichakijinga full stop!Bwana Ngalikihinja ni kweli watapinga ila kitu kimoja wanachotakiwa kujua ni kwamba pamoja na Udsm kushuka kwenye ranking za kimataifa, bado kwa hapa Tanzania kinashika namba moja hata kwenye references zote nilizotumia kimetokea kama chuo namba moja kwa hapa Tanzania.
Sema tukwamba wanaregister wenye div za juu sana ndomana product yao ni nzuri!Bwana Eroni ubora wa elimu yetu unashuka lakini pamoja na kushuka kwake, vyuo nilivyoona at least vinajitahidi kulingana na utafiti wangu huu mdogo ni hivyo nilivyovitaja.