KERO UDSM Wafunga Vyoo vya Umma Kutokana na Ukosefu wa Maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Miaka ya nyuma pale hall 2 palishawahi kudondoka vifusi vikubwa toka ghorofani wanachuo walipagawa vibaya.
 
Aisee hii ni janga kuna siku mvua ilinyesha nipo hapo nimejikinga, hapo maji yalikuwa mengi , nikajiuliza hawawezi kubuni mfumo wa kuhifadhi maji, mfano kule chini barabara ya kwenda shule kupitia geti la mugufuli hosteli, kuna kabwawa maji yote yanaishia hapo kisha kwenda mtoni. wangeweza kutengeneza mfumo mzuri wa kuhufadhi maji na hili tatizo lisingekuwepo.
 
Chuo
Xhuo chenye professors zaidi ya 100 na ma dr. Zaidi ya 300 kimeshindwa kujitafutia solution ya kudumu ya maji ambayo ni hitajinla lazima la binadamu..
Inafikirisha sana ,wanashindwa kuleta Mtambo wa kuchimba visima virefu Hammer? UDSM ni Mlimani ni high elevation so inabidi walete hummer ichimbe chini mita 200 wapate maji ya kutosha kuweza kuserve wanafunzi hapo...Chuo kimejaa maprofesa lakini wameshindwa kujiongeza? Aiseee wasomi Hi.
 
No soft game in life , PROTECT UR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
 

Nchi inasumbuliwa na UJINGA na NYEGE Ila sio kingine CCM haijawahi kuwa tatizo
 
Kwani Udsm haiwezi kuchimba visima vyake, Ikawa inajitosheleza yenyewe?
Maajabu haya mkuu,,halafu utaambiwa hapo kuna wahandisi wa maji na WA miamba
...ila kuchimba kisima kiwasaidie hawawezi,
Walahi tumerogwa!!!
 
Itakuwa hila za mabeberu tu hakuna kingine. Wanatuonea wivu Hadi kwenye elimu yetu.
Who are you ? Mabeberu nyie. Mnazuiya mpaka mvua isinyeshe? Who are youuuu
 
Bajeti ya water drilling na pump ndogo na inaweza kufanyika siku 2 tu wanapata maji.
Wakikusanya pesa ya ushuru na kodi toka kwa wafanyabiashara wadogo wa ndani ya main campus wanapata hiyo pesa.
Wakaombe mkopo wa dharula CRDB, NMB au NBC matawi yalipo hapo wanapata.
Watalipia wakikusanya ushuru.
 
Msalimie sana mkuu wa Chuo braza JK.
Alisoma hapo, na alikuwa rais wa nchi. Yeye ni sehemu ya FAILURE ya CCM kwenye kutatua kero za maji nchini.
 
Jalalani hapo aha aha ha aha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…