DOKEZO Responded UDSM wamepigapigaje hapa kwa Tarimba Abbas, aliwezaje kusoma degree na masters ndani ya miaka miwili tu?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Awards 😂😂😂
 
Na miaka aliyosoma sekondari haipo/haijulikani.
 
Umuhimu ni kulazimisha angalau mwenyekiti wa mtaa/Kijiji awe amehitimu kidato Cha sita na kupata kati ya division 1 mpaka 3.

Hakuna Diploma yoyote kutolewa kama mtu hajafika kidato Cha sita na kupata division 1-3

Diwani kiwango chake Cha chini Cha elimu iwe ni Diploma ya miaka 2 darasani na kuendelea

Mbunge lazima awe na elimu kuanzia shahada na isiwe iliyosomwa nje ya nchi bila kufuata taratibu za TCU.

Huwezi kuwa waziri kama kiwango chako Cha elimu ni chini ya Uzamili(Masters)

Huwezi kugombania Raisi bila elimu yako kufikia level ya doctorate(PhD) ya darasani na sio kutunikiwa.

Huwezi kuwa mkuu wa mkoa bila kuwa na PhD na Mkurugenzi

Huwezi kuwa mkuu wa wilaya bila kuwa na masters na Mkurugenzi

Huwezi kuwa balozi bila kutumikia nchi kwa miaka isiyo punguza 25 na kufanya vyema kwenye sekta yako.

Wacha vichwa maji wabakie wapiga kura na mashabiki.
 
Mimi nilisoma kipindi hicho sijawahi kutana nae class
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…