UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

Haiwezekani labda kue na sababu maalum ya kufanya hivo

Tangu nifatilie sijawai ona timu kwenye ligi moja zikavaana labda kwenye fainali ile ya Spurs na Liverpool ila kwa makundi ya mitoano haiwezekani
Liver na arsenal, arsenal na man,robo mkiingia wengi nchi moja mnakutanishwa tu,itakua imeanza kuangalia mpira ulaya hivi karibuni
 
Haiwezekani labda kue na sababu maalum ya kufanya hivo

Tangu nifatilie sijawai ona timu kwenye ligi moja zikavaana labda kwenye fainali ile ya Spurs na Liverpool ila kwa makundi ya mitoano haiwezekani
Mmh, fuatilia tena utajua timu toka ligi/nchi moja zinakutana kuanzia round ipi.
 
Kumbe ndio wameanza msimu huu, nlikuwa sijakupata hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…