Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona tupo wote kasoro kwa bayernMimi Bayern, Man city Napoli sio kivile ila i enjoy their style and Vibe
He is too cute halafuNapoli wako vizuri mno, huyo osimeh analijua goli hadi sio vizuri
Tofauti mie nipo Al Nassri so nabeba timu yeyote tu yenye hamshahamshaSasa mbona tupo wote kasoro kwa bayern
Huyo huyo osimeh anawatosha, mpaka hatua waliyofikia ameisaidia timu sana. Tayari wana ligiHe is too cute halafu
Ila the problem hawana goalscorer wengi sidhan ka watafika fainali
Hawapo ligi moja mpaka useme Madrid anapasuliwaga na Man city mara nyingi. Wamekutana mara 8. Wametoka draws mara 2 na kila mmoja ameshinda Mara 3 kwahiyo hakuna anayekaza fuvu hapa.Hakuna team inaipasuaga Madrid kama man city shida tu watu mnakazaga fuvu
🤣😂😂 kumbe we team ronaldoTofauti mie nipo Al Nassri so nabeba timu yeyote tu yenye hamshahamsha
Huko nyuma wakati timu za uingereza zipo vizuri,Madrid alikua hapangiwi hizo timu,alikua akipelekwa Barcelona aliyekua vizuriWachache wasiojua fitina za Real Madrid nnje ya mpira hawatakuelewa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Blues walivyo unga,kwa benfica itakua shida sanaSisi the blues tutapewa benfica tumpakate kiurahisi, UEFA hawana hila na sisi
Liver na arsenal, arsenal na man,robo mkiingia wengi nchi moja mnakutanishwa tu,itakua imeanza kuangalia mpira ulaya hivi karibuniHaiwezekani labda kue na sababu maalum ya kufanya hivo
Tangu nifatilie sijawai ona timu kwenye ligi moja zikavaana labda kwenye fainali ile ya Spurs na Liverpool ila kwa makundi ya mitoano haiwezekani
Napoli ubingwa habebi,hayuko vizuri kiviile,akipangiwa Madrid,city, Bayern hatoboiHuyo huyo osimeh anawatosha, mpaka hatua waliyofikia ameisaidia timu sana. Tayari wana ligi
Mmh, fuatilia tena utajua timu toka ligi/nchi moja zinakutana kuanzia round ipi.Haiwezekani labda kue na sababu maalum ya kufanya hivo
Tangu nifatilie sijawai ona timu kwenye ligi moja zikavaana labda kwenye fainali ile ya Spurs na Liverpool ila kwa makundi ya mitoano haiwezekani
Kumbe ndio wameanza msimu huu, nlikuwa sijakupata hapo.Leo hakuna seeding kwa io hata kama mmetoka kundi Moja mnakutana tu, sheria zinabadilika sio bibilia Hio au msaafu, muwe mnafatilia mambo sio kujifanyia wajuaji
Streamed live on UEFA.com
Bayern (GER)
Benfica (POR)
Chelsea (ENG)
Inter (ITA)
Man City (ENG)
AC Milan (ITA)
Napoli (ITA)
Real Madrid (SPA)
Can teams from the same country play each other in the Champions League quarter-finals?
Yes, it is an open draw. There are no seedings and no country protection, so clubs can face opposition from the same national association and teams they previously came up against in the group stage.
Are the Champions League semi-finals drawn at the same time?
Yes. There are three draws: for the quarter-finals; for the semi-finals, pitting together quarter-final ties; and then a third to determine the 'home' side in the final for administrative reasons.
When are the quarter-finals?
11/12 April and 18/19 April
When are the semi-finals?
9/10 May and 16/17 May
When is the final?
Saturday 10 June