Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ban itakuhusu tu, hakuna namnaMods kama real Madrid akifungwa leo pls nipeni ban takatifu
Na kweliMaana hakuna namna nyingine
CR7[emoji460]teh teh teh...mpira dk 90
Haters hawataki kabisa kusikiaNa kweli
Tuko pa1.. Mengine dk 90, cku zote mpira hauna adabuNipo Atletico ila kazi ipo kwakuwa Real Madrid kwenye fainal sijui huwa ana sumu gani aisee. Kipindi kile alikuwa anapigwa hadi 6 na barca walivyokutana fainal cope del ray barca alikalishwa ka mtoto. Walivyokutana UCL na Atletico tuliona kilichotokea na safari hii kwenye ligi Atletico alishinda nje ndani. Mark my words
Acha fix broo zizu c muislamu.. Udin haupo humu mkuu.. Hahaaawa upande wa kulia ndo mshindi. ustaadh zinedine zidane zizou. muislamu wa kwanza akiwa kama kocha kubeba kombe la UEFA. غخوأرردبـجفيفءفinshalaaaaah
wakiirusha itapasuka mkuuChanel gani za kibongo zinarusha?