UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Ni ngumu sana ku-predict hii game ni 50/50 ingawa wengi wanapenda Atletico achukue kombe,tatizo Real Madrid hili kombe linawapenda sana. Wachezaji wa kuangaliwa sana leo ni Fernando Torres na Toni Kroos Game itaisha 2-1
 
Kama mechi itachezwa dkk 90 bingwa ni Atletico, kama itachezwa dkk 120 bingwa ni Madrid, kama zitapigwa penalt bingwa ni Atletico madrid.

Uzuri wa Atletico akikufunga goli 1 tu utajuta kuzaliwa..pepe, sergio ramos na marcelo wawe makini sana na griezmann
 
3754cb98811d0433c6bb2a8f9d6db9c5.jpg
 
r.i.p atletico tulikupenda sana lkn kombe limempenda sana real madrid.
 
Nipo Atletico ila kazi ipo kwakuwa Real Madrid kwenye fainal sijui huwa ana sumu gani aisee. Kipindi kile alikuwa anapigwa hadi 6 na barca walivyokutana fainal cope del ray barca alikalishwa ka mtoto. Walivyokutana UCL na Atletico tuliona kilichotokea na safari hii kwenye ligi Atletico alishinda nje ndani. Mark my words
Tuko pa1.. Mengine dk 90, cku zote mpira hauna adabu
 
Key players wa game ya leo ni Godin na Griezmann kwa Atletico na Casemiro na Modric kwa Real.
 
wa upande wa kulia ndo mshindi. ustaadh zinedine zidane zizou. muislamu wa kwanza akiwa kama kocha kubeba kombe la UEFA. غخوأرردبـجفيفءفinshalaaaaah
Acha fix broo zizu c muislamu.. Udin haupo humu mkuu.. Hahaaa
 
Real Madrid Leo wanachukua ushindi kigumu sana maana hawa jamaa siyo ni nomaa,let wait the time will tell
H
 
Back
Top Bottom