UEFA Champions League Draw

Kama kawaida yenu mtapigwa 3-0 halafu mkija kwenu mnashinda 2-1 mnabaki kusema na sisi tumewafunga wakati mshatoka!
Hapana...huwa wanatufunga home 3-1 always
Nasi tunawafunga 2-0,2-1 kwao.
What a coincidence?
Ila mwaka huu hatutaki mchezo.
Utaona...
 
Mti wenye matunda lazima utupiwe mawe. Wewe mwenyewe julize kiutu uzima inakuweje droo ya timu kumi na sita izungumziwe Arsenal pekee.
Isipozungumziwa Arsenal ni club gani tena?
Na wengi ni mashabiki looser wa Man U.
 
Isipozungumziwa Arsenal ni club gani tena?
Na wengi ni mashabiki looser wa Man U.
Hahahahaha ukiwauliza swali HV KWA NINI NYIE MMESHINDWA KUSHIRIK CHAMPIONS LEAGUE huwa hawawez kujib straight
 
Naona wengerr anashughulikiaa kukata rufaaa
 
Safi sana wale wazee wa mdomo mdomo
Kukutana na wajerumani!!
Hahaha!! Safari hiyooooooooo
 
Breaking news
Rufaa aliyokata wenger dhidi ya Bayern Munich yakubaliwa na muda wowote Arsenal itapangiwa team nyingne.
Arsenal fans hawana budi kujipongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…