joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Uzuri JF inatunza risiti tutarudi hapa, ila Bayern haitishi misimu ya hivi karibuni.Huu uzi ubaki kama reference, Arsenal hata acheze mechi 20 na Bayern Munich hawezi kufurukuta
Kwani msimu umeisha?Hii Arsenal ya sasa hivi imefanya kitu gani cha maana?
Alisema za ma dj hana si unakumbuka kile kipind nimefutiwa movies zote kwenye PcItakuwa anaangalia zilizowekwa maneno ya kiswahili na ma dj
π€£π€£Kikundi cha watoto wa mama kizimkaziπ€£π€£π€£Huwa nadanganya tu, kwani drama cool ndo nini huko daslamπ€π€
Muongo huyo sasa kama katuambia movie ya mwaka 2022 inatoka mwaka huu si muhuni huyu πππAlisema za ma dj hana si unakumbuka kile kipind nimefutiwa movies zote kwenye Pc
Utakuja kuona historia sasa sit πͺ and relaxKwani msimu umeisha?
kwani msimu huu hiyo Bayern imefanya kitu gani cha maana? Unazungumzia timu iliyo kula tatu na Liverkunsen ikaja ikala tano.
Zungumzia current form na si historia.
Tupo uzuri JF ipo tutakumbushana.......Utakuja kuona historia sasa sit πͺ and relax
ππππTatizo anaangalia sana moviesπππmpaka anasahauMuongo huyo sasa kama katuambia movie ya mwaka 2022 inatoka mwaka huu si muhuni huyu πππ
Aisee ko ndo wale wauza nyama za iringa ehhπ€ππ€£π€£Kikundi cha watoto wa mama kizimkaziπ€£π€£π€£
robo tenaSpain ameingiza timu 3 kwa vyovyote vile timu mbili zitakutana hatua ya robo.
Naiona El Clasico au Madrid derby katika hatua ya robo
πππππππTatizo anaangalia sana moviesπππmpaka anasahau
πππ Afu umesikia kuna soko North korea hukoAisee ko ndo wale wauza nyama za iringa ehhπ€π
Sitaki matatizo na kim jong UNπ€πππ Afu umesikia kuna soko North korea huko
Wametangaza leo kuwa waanze kufuga mbwa kwa ajili ya kulaππSitaki matatizo na kim jong UNπ€
Ko mi ndo mbwa auππ€Wametangaza leo kuwa waanze kufuga mbwa kwa ajili ya kulaππ
Me nimekuambia soko lipo north korea unapoenda china kwenye movies zako beba mzigo wa kutoshaπππKo mi ndo mbwa auππ€
achana nao mkuu kuna vichaa wengi sana hili jukwaa anasahau kama Bayern munich kabeba champions leauge 2020 Tena kwa kumpasau Barcelona goli Nane kwenye Robo fainali .Ni kichaa Tu na Mtoto anaweza kuwadharau Bayern Munich kwenye Champions leaugeWatanzania bhana